Naomba kuuliza, je mtu akiachiswha kazi kwa kigezo kuwa shirika linafnya re-structuring na umefanya kazi na hao watu kwa miaka 3 hivi,je unastahii malipo ya namna gani. msaada wenu tafadhali
Kwa ujumla mwajili anapaswa afate taratibu zote kama zilivyoainishwa katika sheria ya Employment and labour ralation Act s.38 na mwajiliwa atalipwa kwa kindi chote kile kilichokua kimesalia katika mkataba wake
N.B hii ni kwa mfanyakazi mwenye mkataba aina za mikataba zinapatikana S.14
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.