Kuachana na mpenzi

Tatizo nini sasa kama mliachana kwa Amani
au" wivu sina roho inauma,"?
Hakunaga kuachana kwa Amani kama mlikua mnapendana,,sema tu kuna circumstances zinatokea had mtu unaruhusu tu mapenzi yapite roho hainiumi na wala sina wivu sema tu ndo staki tena
 
Kuna demu aliniacha,ana bonge la shepu ,dah niliumia ila nikaona freshi.Baada ya miezi minne ananifuata eti turudiane, wakati mimi nina mafaili yake yote alichofanyiwa na mtu wake,nikampiga block ktk simu baada ya kunipiga mkwala eti atakuja kunifanyia fujo mimi na demu wangu niliyekuwa naye. Akaona haitoshi kila siku akawa anakuja home mara kijiweni lkn hanioni, nina miezi zaidi ya sita hatuja onana wala kuwasiliana na sina mpango naye.
 
Inakuwa kero na mwenzie tabu tena ndio kila siku kuliliwa kama kaambiwa unakufa
Usifikire aliyesema it’s over leo usiku atabadili mawazo hapana laifikiri kabla hajasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…