Kuachana na mpenzi

Hahahhh mate lakiniii kha picha tu mtu akaamua yake? Ila hilo zoezi ni gumu lisikie tu kwa jirani kuachwa ni zaidi ya kufilisika.
 
Hahahhh mate lakiniii kha picha tu mtu akaamua yake? Ila hilo zoezi ni gumu lisikie tu kwa jirani kuachwa ni zaidi ya kufilisika.
Mate acha tu nilikuwa deep in love
 
Nilivobutuliwaga mimi na yule bibie, sikuacha kumbembeleza ikafikia hatua nikawa natukanwa ka siye mimi niliyekuwa namvua chupi, ilifikia hatua sauti ya upole sana niliisikia kutoka ndani ya moyo ikisema"Inatosha sasa, kuna maisha mengine nje ya huyo mdada". Niliitii ile sauti na kuinuka nilipokuwa nimejikwaa nikapoteza fahamu kabisa. Hivi sasa nipo vizur mno!
 
Kuna mdada aliniacha,nikajaribu kumrudisha kama mara mbili tatu hivi,akagoma,nikaamua kumove on! Baada ya muda akarudi analalamika eti nilikua simpendi kwanini sikuendelea kumbembeleza!

Nikashindwa kumuelewa kabisa!

Mkuu awa viumbe ni vigumu kuwaelewa
 
Yani ntamtimua kama simjui *****
 
Sinaga hizo habari tutaongea nini sasa na kwa bahati mbaya inaweza sema sina x ambae sikumpenda au ambae bado nampenda so ma x wote ni maadui tu hata namba zao nlishag blok zoote

Tatizo nini sasa kama mliachana kwa Amani
au" wivu sina roho inauma,"?
 

nipe experience yako kuna demu nilimpenda sana sana mpaka mwenyewe akawa anasema tatizo nampenda sana
akaja kunitema akapunguza upendo akaanza kuleta ratiba ya kugegedwa nikagundua anani cheat nikauweka ushahidi kwake hadharani anakogegedwa na mwana nikanyoosha mikono juu tukawa tunapiga stori baadae akaninunia mazima

tatizo ni nini?
dharau alianzisha yeye kwa nini aninunie na kama mapenz ni yeye kafanya upuuzi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…