Kuachana na mpenzi

tushirikishe labda tunaweza kujifunza na sisi maliyamtu!!
Katika historia yangu ckuwah date na mtu nsompenda na walianza wao kuzingua nikaamua kuacha maana sikuweza vumilia usaliti na hivi nlikua bado sokoni nikajionea ya kazi gani kufa na tai shingoni.

Sasa nipoamua kuacha sikurudi nyuma sio mawasiliano wala nini nadhani unayajua maumivu ya kuruhusu mtu aende wakati bado unampenda sasa ndo ataki hata kuwasikia
 
Aiseee pole sana, yes naelewa.
 
Of course it is wise to let it go and move on when things become complicated
 
Kuna watu hawakubaligi ukweli jamanii sijui kwann,na ndio hawa wanafanya maisha yaonekane magumu zaidi,..tunahitaji kujifunza zaidi juu ya kushukuru kwa kila jambo na kuanza upya,.kujiwekea misimamo na kuifanyia kazi ni jambo jema pia.
 
Sinaga hizo habari tutaongea nini sasa na kwa bahati mbaya inaweza sema sina x ambae sikumpenda au ambae bado nampenda so ma x wote ni maadui tu hata namba zao nlishag blok zoote
Unapomchukia MTU ina maana bado yupo moyoni unayaishi bado maumivu yake,.me naona si vema kuwa na uadui nae/nao...ila kwa upande wa mawasiliano hata mm nilishindwa aisee unawasiliana na x for what,.yaani what special mnaongea..mmmh ndio yaleyale ya kuufanya muwa mkongojo siku njaa ikikuuma una ula tuu,..yalopita yamepita.
 
Aisee
 
Hahaha nmecheka na kweli kuufanya muwa mkongojo nani anataka,,sio kwamba nawachukia hata tukionana salam hamna no ila tu sina nafasi yao kwangu bas
 
Hahaha nimecheka kwakweli kwakweli mapenzi yana nguvu asikwambie mtu
 
Hahaha nmecheka na kweli kuufanya muwa mkongojo nani anataka,,sio kwamba nawachukia hata tukionana salam hamna no ila tu sina nafasi yao kwangu bas
Watu hawakawii kurudia makoloni yao[emoji16][emoji16]me sipendi kabisa hizi mambo,..bora niongeze list kama hapana budi sio kurudi nyuma tena... Never!!! Kila mtu apambane na maisha yake kwakweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…