Kuacha ku-report kazini

Nenda haraka kituoni kwako ukaripoti na uanze kazi chaap.
Fani utabadilisha baadae, ikiwa ujuzi uko nao tayari.
Watu wanatafuta hata huo ualimu wa phys na chem na hawapati. Lol
 
Kaka maliza degreee kazi Utapata tu ... Yani Ukiacha kumalizia hiyo degree utakuja kukumbuka ... Usiende ... soma alafu utaomba tyu utapata
 
Civil engineering kozi nzuri.
Kamalizie huo mwaka mmoja.
Wengi wanaokushauri ukafundishe wakati huna wito hao ni wale watu wanao amini hakuna kufanikiwa ktk maisha bila kuajiriwa tena hasa na serikali.
Nakuambia utapoteza muda wako zaidi ya mwaka 1 kuweza kumalizia degree yako. Ualimu very boring kwa mtu aliye kosa wito, majungu mengi sana.
 
Pia atakuja kukumbuka baadae na kujuta kwanini hakumaliza hiyo degree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…