Francis Fortnatus Nyahume
Member
- May 8, 2025
- 5
- 12
Thanks kwa ushauri wako ndguKaripoti tu kazini bro. Unaweza kumaliza hiyo degree yako usipate hata mchongo wa kuuza karanga.
Mimi huwa na amini kwenye kushikilia kwa nguvu zote kile ulichonacho.
Usitamani au kuwa na ndoto kubwa kwenye vitu vya mbele usivyo vijua.
Halafu nasikia ukipangiwa kazi utumishi usiporipoti ni ngumu sana kupata nafasi tena.
Karipoti mapema anza kula mshahara huku ukipanga mikakati yako mizuri ya maisha ya mbele
Thanks kwa ushauri ndg🙏report utabadili mbele kwa mbele sio lazima uishi ndoto zako sahizi utaziishi baadae
HAJUI MTAANI WATU WANAVYOSOTA HAPO PESA ZA KUTUMIWA ZINAMPUMBAZAUtoto raha usireport endelea kusoma....
Inawezekana kahama mkuu nenda kariport baadae watakufanyia categorization utabadilishwa kituo nenda kariport.Hello JF family
Mimi nilihitimu Diploma ya uhandisi ujenzi(Diploma in Civil Engineering), then nikajiunga kusoma Bachelor degree in Civil Engineering bado nimebakiza mwaka mmoja kuhitimisha, Mwaka huu nikaanza kuomba kazi kama Civil Technician Ajira portal mara mbili,
Hii hii May 2025 wamenipangia kazi ambayo sikuomba(Mwalimu wa Amali somo la Painting and Sign writing) shule ya technical wakidai ni database nimejifikiria sana kutokuenda kureport kazini maana sina fani ya ualimu na ndoto zngu nibtofauti,
Kuna madhara yeyote ya mimi kuacha na kuendelea kuomba tofauti kwenye mfumo wao?
Je kuna uwezekano wa kubadilisha muundo wa kazi baada ya kua ushareport na kuingia kwenye mfumo wa ualimu?
Nimeuliza maana nimekua nkisikia maneno kwa watu wachache naowaulizq kua ntafungiwa kuomba kwa mda endapo sitaenda kazini
Na kuhama kutoka ualimu kwenda kwengine ni ngumu Sana
Ahsanteni sana.
Tuwasiliane.Hello JF family

Ahsateee sana kwa ushauli wako ndguNenda kareport kazini kisha pambana upate hiyo Bachelor uanze kuomba categorization, ikishindikana tafuta fursa Private sector. Kwa sasa anza na fursa uliyoipaya usiache.
Habari Yako ndugu? Najuwa pengine wapo watu wanaokwambia au kukushauri kwamba usi report kazini, Aisee kama Kuna watu wanamna hiyo kaa nao mbali na achana na huo ushauri wao kabisa, Cha msingi nenda uka report kazini tena mapema bila kusita, Sasa hivi ajira hususani za Serikalini kuipata imekuwa ni shughuli pevu sana lazima tuvuje jasho, lazima utumie gharama pamoja na muda ili kuipata ajira hiyo, Kwa kuwa tayari umeshaingia kwenye mfumo wa Utumishi wa Umma nenda karipoti kazini ndugu yangu, na Kibaya zaidi Sasa hivi Utumishi wanakutumia barua direct kwenye akaunti Yako ya ajira Portal Kwa hiyo ikitokea hukwenda ku report na barua wamekutumia, Jamaa yangu kupata kazi nyingine itakuwa ni ngumu sana Kwa wakati huu, Kuna wakati ndoto na malengo yetu huwa yanakwenda kutimizwa Kwa njia tofauti na mipango tuliyojiwekea, nenda ka report kazini, Kisha utamaliza masomo Yako Kwa ngazi ya Degree baadae utaomba kufanyiwa Recategorization mbona wengi wamefanya hivi, ACHA KUCHEZEA HII NAFASI COMRADE WAHI KAZINI MARA MOJA.Hello JF family
Mimi nilihitimu Diploma ya uhandisi ujenzi(Diploma in Civil Engineering), then nikajiunga kusoma Bachelor degree in Civil Engineering bado nimebakiza mwaka mmoja kuhitimisha, Mwaka huu nikaanza kuomba kazi kama Civil Technician Ajira portal mara mbili,
Hii hii May 2025 wamenipangia kazi ambayo sikuomba(Mwalimu wa Amali somo la Painting and Sign writing) shule ya technical wakidai ni database nimejifikiria sana kutokuenda kureport kazini maana sina fani ya ualimu na ndoto zngu nibtofauti,
Kuna madhara yeyote ya mimi kuacha na kuendelea kuomba tofauti kwenye mfumo wao?
Je kuna uwezekano wa kubadilisha muundo wa kazi baada ya kua ushareport na kuingia kwenye mfumo wa ualimu?
Nimeuliza maana nimekua nkisikia maneno kwa watu wachache naowaulizq kua ntafungiwa kuomba kwa mda endapo sitaenda kazini
Na kuhama kutoka ualimu kwenda kwengine ni ngumu Sana
Ahsanteni sana.
Godbless you ComradeHabari Yako ndugu? Najuwa pengine wapo watu wanaokwambia au kukushauri kwamba usi report kazini, Aisee kama Kuna watu wanamna hiyo kaa nao mbali na achana na huo ushauri wao kabisa, Cha msingi nenda uka report kazini tena mapema bila kusita, Sasa hivi ajira hususani za Serikalini kuipata imekuwa ni shughuli pevu sana lazima tuvuje jasho, lazima utumie gharama pamoja na muda ili kuipata ajira hiyo, Kwa kuwa tayari umeshaingia kwenye mfumo wa Utumishi wa Umma nenda karipoti kazini ndugu yangu, na Kibaya zaidi Sasa hivi Utumishi wanakutumia barua direct kwenye akaunti Yako ya ajira Portal Kwa hiyo ikitokea hukwenda ku report na barua wamekutumia, Jamaa yangu kupata kazi nyingine itakuwa ni ngumu sana Kwa wakati huu, Kuna wakati ndoto na malengo yetu huwa yanakwenda kutimizwa Kwa njia tofauti na mipango tuliyojiwekea, nenda ka report kazini, Kisha utamaliza masomo Yako Kwa ngazi ya Degree baadae utaomba kufanyiwa Recategorization mbona wengi wamefanya hivi, ACHA KUCHEZEA HII NAFASI COMRADE WAHI KAZINI MARA MOJA.
Sitisha mwaka wa masomo, report kazini, fundisha mwaka mmoja kisha omba ruhusa nenda kamalizie masomo, ukirudi unakuwa mhandisi wa Halmashauri. Ndoto zako zinatimia.Hello JF family
Mimi nilihitimu Diploma ya uhandisi ujenzi(Diploma in Civil Engineering), then nikajiunga kusoma Bachelor degree in Civil Engineering bado nimebakiza mwaka mmoja kuhitimisha, Mwaka huu nikaanza kuomba kazi kama Civil Technician Ajira portal mara mbili,
Hii hii May 2025 wamenipangia kazi ambayo sikuomba(Mwalimu wa Amali somo la Painting and Sign writing) shule ya technical wakidai ni database nimejifikiria sana kutokuenda kureport kazini maana sina fani ya ualimu na ndoto zngu nibtofauti,
Kuna madhara yeyote ya mimi kuacha na kuendelea kuomba tofauti kwenye mfumo wao?
Je kuna uwezekano wa kubadilisha muundo wa kazi baada ya kua ushareport na kuingia kwenye mfumo wa ualimu?
Nimeuliza maana nimekua nkisikia maneno kwa watu wachache naowaulizq kua ntafungiwa kuomba kwa mda endapo sitaenda kazini
Na kuhama kutoka ualimu kwenda kwengine ni ngumu Sana
Ahsanteni sana.
Ushauri mzuri maana kuishi ndoto zako ni process, wakati mwingine watu huwa tunafanya kazi ili upate hela ya kukidhi mahitaji yako na bundle la kuperuzi kufukuzia deal ambazo ni ndoto yako.report utabadili mbele kwa mbele sio lazima uishi ndoto zako sahizi utaziishi baadae
Kirahisi hivyo? Be realistic broSitisha mwaka wa masomo, report kazini, fundisha mwaka mmoja kisha omba ruhusa nenda kamalizie masomo, ukirudi unakuwa mhandisi wa Halmashauri. Ndoto zako zinatimia.
Unafanya kazi baadae unahamia TBA, baada ya miaka mitatu utarudi chuo kusoma Masters kisha unarudi kuwa meneja TBA kanda, baadae Mkurugenzi Mkuu TBA kisha Mh. Rais anakuteua CEO wa NHC
Umemsahuri vizuri sana jamaa.Habari Yako ndugu? Najuwa pengine wapo watu wanaokwambia au kukushauri kwamba usi report kazini, Aisee kama Kuna watu wanamna hiyo kaa nao mbali na achana na huo ushauri wao kabisa, Cha msingi nenda uka report kazini tena mapema bila kusita, Sasa hivi ajira hususani za Serikalini kuipata imekuwa ni shughuli pevu sana lazima tuvuje jasho, lazima utumie gharama pamoja na muda ili kuipata ajira hiyo, Kwa kuwa tayari umeshaingia kwenye mfumo wa Utumishi wa Umma nenda karipoti kazini ndugu yangu, na Kibaya zaidi Sasa hivi Utumishi wanakutumia barua direct kwenye akaunti Yako ya ajira Portal Kwa hiyo ikitokea hukwenda ku report na barua wamekutumia, Jamaa yangu kupata kazi nyingine itakuwa ni ngumu sana Kwa wakati huu, Kuna wakati ndoto na malengo yetu huwa yanakwenda kutimizwa Kwa njia tofauti na mipango tuliyojiUmewekea, nenda ka report kazini, Kisha utamaliza masomo Yako Kwa ngazi ya Degree baadae utaomba kufanyiwa Recategorization mbona wengi wamefanya hivi, ACHA KUCHEZEA HII NAFASI COMRADE WAHI KAZINI MARA MOJA.