Agiza Express
Member
- Sep 26, 2022
- 55
- 126
Habari Wana JF natumaini muwazima
Naomba kuuliza niliajiriwa nimwenzi wa pili Sasa ila naona mambo yanaingiliana je? Kunauwezekano wakiacha kazi na baadae nikishakaa sawa nikarudi utumishi nikapambana tena kupata
Sikiliza moyo wako mwaya, huenda unayamudu maisha bila kazi yanini ujiue sababu ya kazi😌utumishi nikapambana tena kupata
Bado hata hujathibitishwa kazini. Sina uhakika kama una hiyo hakiNalikizo pasipo malipo naweza nikaomba ya mwaka mmoja
inategemea jinsi ulivyokaa na hao waajiri wakoHabari Wana JF natumaini muwazima
Naomba kuuliza niliajiriwa nimwenzi wa pili Sasa ila naona mambo yanaingiliana je? Kunauwezekano wakiacha kazi na baadae nikishakaa sawa nikarudi utumishi nikapambana tena kupata
Haujathibitishwa kazini unaacha KAZI ,Tanzania inatoa graduates wa hovyo kabisa ,hapo ulipo upo kwenye probation bado haujathibitishwa kiufupi wewe sio mwajiriwa acha tu kama unataka, hakuna mtu atakupa likizo wewe sio mwajiriwa labda uwe mjamzito na ukajifungua ,na ukiacha mzimu wa cheque namba utakutafuna kila ajira ya serikaliHabari Wana JF natumaini muwazima
Naomba kuuliza niliajiriwa nimwenzi wa pili Sasa ila naona mambo yanaingiliana je? Kunauwezekano wakiacha kazi na baadae nikishakaa sawa nikarudi utumishi nikapambana tena kupata
Njia zote zikifeli Fanya hivi:Habari Wana JF natumaini muwazima
Naomba kuuliza niliajiriwa nimwenzi wa pili Sasa ila naona mambo yanaingiliana je? Kunauwezekano wakiacha kazi na baadae nikishakaa sawa nikarudi utumishi nikapambana tena kupata
Kwa nini asiseme tu alichukuliwa msukule. Maana hii sababu haina justification wala upelelezi na mahakamani anashinda kesi mapema asubuhi.Njia zote zikifeli Fanya hivi:
Wewe ondoka tu usiage Wala kuandika barua yeyote. Fanya mambo yako ukimaliza hata mwaka. Rudi kazini ukiwa na sound reason.
Mfano nilitekwa na majambazi au waasi wa M23,
au nilipata ugonjwa wa akili/ uchizi Sasa nimepona. Tafuta sababu ngumu na yenye uzito na UWE na documents
Lolote lawezekana. Watamsumbua kidogo ila watamrudisha. Lakini akiacha kazi kwa barua ndio basi tenaKwa nini asiseme tu alichukuliwa msukule. Maana hii sababu haina justification wala upelelezi na mahakamani anashinda kesi mapema asubuhi.
Acha kazi uone ilivyo kazi kupata kaziHabari Wana JF natumaini muwazima
Naomba kuuliza niliajiriwa nimwenzi wa pili Sasa ila naona mambo yanaingiliana je? Kunauwezekano wakiacha kazi na baadae nikishakaa sawa nikarudi utumishi nikapambana tena kupata
Una utani wewe!Nalikizo pasipo malipo naweza nikaomba ya mwaka mmoja