Two wrongs don't make it right.Habari
Jamaa aliacha kazi pasipo kutoa taarifa kwa mwajiri baada ya kutopewa mshahara kwa miezi mitatu,ajira haina mkataba ni zile za kupatana pasipo maandishi
Alipofatilia akajulishwa anapaswa kukatwa mshahara wa mwezi mmoja kwa kutotoa notice kwa mwajiri.
Jamaa anadai alisitisha ajira pasipo kutoa notisi kwasababu mwajiri aliacha au alikataa kumlipa mshahara na ni sababu inayotambuliwa na sheria,ameamua kusonga mbele kupinga maamuzi haya
Anaweza kufanikiwa??
Vipi kuhusu kukatwa mshahara wa mwezi mmoja kwa kutokutoa noticeTwo wrongs don't make it right.
Muajiriwa amekosea na mwajiri amekosea ,wote mnatakiwa mkutanieni kati.
Mwajiriwa kutoonekana kazini kwa siku tatu (A.W.O.L) - Ni Automatic umejifukuzisha kazi.
Mishahara mitatu aliyoifanyia kazi ni haki yake haitakiwi kukatwa ,ukitoa notice ya mwezi mmoja means utalipwa na kama umeondoka huo mwezi hautolipwa ila ile mitatu uliyoifanyia kazi ni haki yako lazima ulipwe.Vipi kuhusu kukatwa mshahara wa mwezi mmoja kwa kutokutoa notice
Inasikitisha sana mkuu!Anakatwaje mshahara wa mwezi mmoja na hajalipwa miezi mitatu?
Anyway, asonge mbele tuu,kufanya kazi kwa mtu miezi mitatu bila kulipwa uongo.
Habari
Jamaa aliacha kazi pasipo kutoa taarifa kwa mwajiri baada ya kutopewa mshahara kwa miezi mitatu,ajira haina mkataba ni zile za kupatana pasipo maandishi
Alipofatilia akajulishwa anapaswa kukatwa mshahara wa mwezi mmoja kwa kutotoa notice kwa mwajiri.
Jamaa anadai alisitisha ajira pasipo kutoa notisi kwasababu mwajiri aliacha au alikataa kumlipa mshahara na ni sababu inayotambuliwa na sheria,ameamua kusonga mbele kupinga maamuzi haya
Anaweza kufanikiwa??
Lolote linaweza kutokea kwenye sanaa za sheria.
Hivi kwa nini jamaa asisongeshe malakamiko yake huku akiwa tayari kakikunja kitita chake cha miezi miwili? Haelewi dana dana za mahakama zinavyoweza kumnyima hata kile kidogo angeambulia? Kuziamini hizi mahakama za Kangaroo ni kujitoa ufahamu.