Kuacha harakati ni bora kurudi CCM au kuacha siasa ukachunge mbuzi

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,903
4,051
Ukimuona mwanasiasa anakataa harakati, huyo ni mtoto wa tabaka tawala hajazoea mapambano.

Kiongozi yoyote mwenye kudai haki lazima apambane kwani tabaka tawala huwa vinganginizi kwa utamu wa asali ya unyonyaji.

Mwangalie che Guevara aliishia kufa
Mwangalie martin Luther aliishia kufa

Mwangalie besigye yupo gerezani
Mwangalie Mandela 27 years in prison.

Hawa viongozi wenye sifa za ufisadi tena hawana political integrity wadai utachukua dola
kwa huruma ya wanaowatawala.


Kiongozi anaesema muache harakati, muitane hotelini na juice huyo ni asili ya tabska tawala na amezoea kunyonya, he doesn't feel the pain of oppressed

U CAN INTIMIDATE PEOPLE,U CAN KILL PEOPLE, BUT U CANNOT KILL REVOLUTIONARY IDEAS.

TUTAENDELEZA MAPAMBANO NA MKOLONI MWEUSI.
 
Lowassa kakataza uhanaharakati ...,tusubirie kuchukua dora kwa mikono safi isiyo na damu!
 
Mwenye chama alishaongea ,
We kigango Fulani hujawahi kuchangia hata mia unapinga kwa lipi.

Lowasa ametoa billion 10 kununua chadema ni haki yake kusimamia chama chake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom