monaco
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,184
- 1,780
Mke/mume mwema hutoka kwa Mungu, wapi?,hatujui bt kwa MUNGU Hiyo ndo imani yetu...ok,kwanini wanaume wengi wa umri 45yrs na kuendelea akiwa kwenye umri huo akiachana na mke wake tu...basi hakawii kupata Pressure,kisukari nk,haswa wanaume...ni kwanini?HASWA SABABU YA KUACHANA Ikiwa ni mtafaruku wa kimapenzi. nimeona mifano mingi sana....hata kazini kwetu wapo,bt akifanya hayo early stage of 30s hakuna effects.kwanini?kwa mwanamke huwaza tu hela kama hafanyi kazi,kama anafanya kazi hawezi kupata pressure/kisukari nk, huziba fasta gap moyoni mwake by any means.
Mume/Mke mwema hutoka kwa mungu wapi?popote hata kwenye ndege/daladala, hata kama mcharuko atapata wa kwake tu.....
maoni yako na uzoefu hata wa kusikia na sababu.
Mume/Mke mwema hutoka kwa mungu wapi?popote hata kwenye ndege/daladala, hata kama mcharuko atapata wa kwake tu.....
maoni yako na uzoefu hata wa kusikia na sababu.