Kua single kuzuri sana

Dah...kuwa single tu ni dalili za kufeli kimaisha...huwezi kusema una maisha ya furaha wakati huna mahusiano....furaha ya maisha huja baada ya kufanikiwa kwenye mambo yafuatayo...
1. Uwe na chanzo cha napata
2. Uwe na ujuzi wowote wa kuwasaidia wengine
3. Uwe na mahusiano mazuri na wengine..
4. Uwe na imani yoyote ya kuabudu..
 
kujifanya kupenda penda ni kilema kibaya sana mkuu

ukijiotoa kwenye huu ulevi,utaish maisha ya stareeeeehe
Dah...hakuna maisha ya starehe kama hakuna penda penda...labda uwe mcheza pool mzuri sana...
 
hit and run ndo mpango mzima mkuu
ila nayo inachangamoto zake wakuu,mi nli HIT kicheche moja iyo nimetumia protection fresh kumbe nime RUN na warts virus wiki mbil tu nashangaa naota mapele ya ajabu mavuzini.NIMEKOMAA nipo zangu CHAPUTA
 
Uhitaji utakaporudi utatamani tena...mapenzi hayaishi fasheni
Kaka Mshana mademu wa siku hizi pasua kichwa hata umpe hela na kumtafuna kila siku utatombewa tu.!
Na ukiwa maskini sasa ndo utatukanwa kabisa na demu wako mwisho wa siku anakwambia-
"Hivi na wewe unajiita mwanaume?"
 
Leo kuna thread ya kupunguza kuzaa na hii ya kubaki single, ukiuliza sababu ni maisha kuwa magumu(ajira hakuna) na usaliti.Kesho itakuja nyingine ya kuhamasishana kutokuoa na sababu ni zile zile za maisha magumu na usaliti, wanawake mtafute pa kukimbilia
 
wakuu

napata faraja sana ya maisha hasa baada ya kupitia mikikimikiki ya mapenzi,

96% ya akili yangu ilikua ikitumika kuwaza anayeitwa mwanamke niliempenda badala ya kuwaza mambo ya maana kama project za maendeleo

ila baada ya kumuacha mpenzi niliempenda sasa naishi saaafi bila stress zozote

kupenda mtu ni kubaya sana,99% za ubongo zinakua zinamuwaza umpendae na akijua unampenda utajuta,ATAKUFANYIA TIMBWILI ZA KILA AINA,

ila nachofurahi tu ni kua huwezi kukomaa kimapenzi kama hujawai umizwa,kama wewe bado,basi jua siku zinakuja

now am FREE

no woman no cry
The last paragraph is really. .. well talk buddy
 
Back
Top Bottom