Kua single kuzuri sana

Kua single kuzuri sana

Hauwez kukaa single lazima utawasumbua dadazetu, labda uwe umeiweka kitanzi.Pia hata kama umependa usizidi hadi inafikia hatua kilaunachoambiwa haupingi hoja.Make sure haumuonyeshi baby wako reaction kama hizo hatakama unampenda atari,otherwise utabandika mabango kuwa upo single na bado unawasumbua watoto wa watu mtaani.

mkuu, sasaivi swala la kupenda penda ovyo halipo mkuu

ntampenda mke wangu tu mda ukifika
 
Wewe nenda likizo wakati watu wanazidi kuvumbuwa vipaji na mitindo inazidi kubuniwa mipya

mkuu,uzuri hawa watu kila siku wanazaliwa wazuri

ngoja nisake pesa kwanza

yaani nilitumia laki 5 kwa kunywa pombe siku 5 ili nitoe mawazo eti sababu ya mapenzi

nikikumbukaga hili tukio,hua nachoka kabisa
 
Ndo hapo wanadamu tunapojidanganya kuwa kuwa singles ni kuzuri, nikweli tutasema ni kuzuri iwapo hujapatwa na maradhi unakula unafurahi ila unapopata badiriko katika mwili wako ndo unajuà umuhimu wa kuwa namwenzako.ata kama mkigombana ila ukiumwa atakuudumia na kukujulia hali tusijivunie kuwa single bali tumuombe Mungu atupe wenza hakuna kitu kibaya kama upweke ata uwe na hela utadharaulika utaitwa malaya jàmani Mungu tupe wenza walio kamilika.
 
mkuu mwenza/wife ni lazima

nachopingana ni kung'ang'ania kua kwenye ulimwengu wa mapenzi paspo futere zozote

tusubiri muda uamue,hakuna haja ya kukurupukia mapenzi wakati kunamambo mengi ya kufanya
 
Malizia stori mkuu baada ya kuwa single ukajiunga chaputa au unanunua machangu...? Maaana nyege ugonjwa mbaya sana
 
Malizia stori mkuu baada ya kuwa single ukajiunga chaputa au unanunua machangu...? Maaana nyege ugonjwa mbaya sana

nakua nao tu kama seem ya kureflesh,ila akili haipo kwao hata kidogo

ukizingua usizingue ATAJUA MWENYEWE

yap,nakua single ki feelings
 
watu Watu wanafungukaa Hahahaaa
Mwenzenu nmelalia mapaja apa nchek eatv yff..em nibusu kdg hahahaa........

ngoja siku avulunde ndo utayakumbuka ad ayo mapaja mkuu

utalia machozi ya damu mkuu
 
Single afu unaumri zaidi ya miaka 27 still ur waiting for a right time eti muda utaamua hili nalo ni tatizo,,,,,,,,:::::::
 
mkuu,uzuri hawa watu kila siku wanazaliwa wazuri

ngoja nisake pesa kwanza

yaani nilitumia laki 5 kwa kunywa pombe siku 5 ili nitoe mawazo eti sababu ya mapenzi

nikikumbukaga hili tukio,hua nachoka kabisa

Hahahahahahaha pole sana mkuu pesa haihitaji wewe kupania kivile no
 
Mungu akasema Si vema mtu huyu awe peke yake...
 
Back
Top Bottom