mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,520 Reaction score 138,454 Apr 27, 2014 #1 natumia s4 lakini kila nikitaka ku upload picha humu jf inakataa..msaada kwa anayefahamu ani elekeze.natanguliza salam
natumia s4 lakini kila nikitaka ku upload picha humu jf inakataa..msaada kwa anayefahamu ani elekeze.natanguliza salam
RGforever JF-Expert Member Joined Apr 3, 2011 Posts 6,877 Reaction score 5,446 Apr 27, 2014 #2 Una pitia steps gani ku-upload hizo picture?
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,520 Reaction score 138,454 Apr 27, 2014 Thread starter #3 RGforever said: Una pitia steps gani ku-upload hizo picture? Click to expand... picha zipo kwenye galary sasa nataka kuzi attach mkuu.ndiyo inagoma
RGforever said: Una pitia steps gani ku-upload hizo picture? Click to expand... picha zipo kwenye galary sasa nataka kuzi attach mkuu.ndiyo inagoma