Wakuu nina nokia C3,imewekewa Opera mini kinachonitatiza nashindwa ku-updates kwasababu option yake iko FENTI(hainiruhusu ku-updates)je nawezaje kufanya hivyo wakuu.msaada
Mkwawa nisaidie namna ya kuongeza RAM ya cm yangu
Simu gani? Then hamna actualy software ya kuongeza ram labda optimization tu
nimejaribu hivyo imegoga kabisa.
nisaidie hata hivyo
natumia Nokia 3120classic
kwa simu zote za nokia ambazo zimekua na opera built in au ovi browser mara nyingi zinazingua opera za jad unachotakiwa wewe ni kudownload opera yenye format ya jar.
Mfano download opera hii hapa
http://mini.opera.com/global/opera-mini-4.3.24214-advanced-en.jar
Ikikubali au kukataa leta feedback