Naomba kuuliza ukitumia modern ambayo tayari ikiwa unlocked ufanisi wake nisawa tu na ile ya kawaida? Au uwezo hupungua baada ya Ku unlock. Naomba uzoefu wakuu.

Kuna njia tofauti za kufanya modem itumie line zote, unaweza kuflash (kueka firmware kwa ku upgrade/downgrade), unaweza ku unlock kwa kueka unlock code au hata kubadili dashboard ya modem tu.