Ku download movie kwenye Telegram

Ku download movie kwenye Telegram

Kati ya ulizoniwekeachukua ile ya Kati sasa Ila isiwe game
Unamaanisha hii Drama ya Kikorea ya 2012 hapa?
1773927016119.png
 
Njoo inbox!!!
Series zako sijui ni za aina gani yani nimetafuta machaka yangu yote ambayo nayaaminia lakini nimeshindwa kuipata, na sehemu nikiipata nakuta haina option ya one click kwa season yote

Sasa hapa nimepata link ya utorrent kwa hiyo unatakiwa uipakue kupitia utorrent ina 16GB

Lakini kama utaona miyeyusho nimekuwekea na link ya dramacool ambapo utatakiwa ku download manual ka episode kamoja kamoja mpaka 50+

Magnetic Link: God of war

Dramacool link
 
Back
Top Bottom