KU-DOWNLOAD MOVIE/GAMES KATIKA TORRENT SITES

worms

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
964
893
Habari wakubwa,

Naomba kujua torrents site ambapo nitaweza download movies na games mbali mbali, naona nashidwa kuzipata site nilizozizoea kickass torrents, extratorrents na pirates bay.

Naombeni maujuzi wadau naona nipo gizani kwa sasa nashidwa download chochote cha maana hata YIfy/Yts naona haisomeki.

Nawakaribisha wadau .
 
www.yts.am

www.1337x.to
 
Ata mimi nilikuwa napenda sana...kujua kuna magemu naayapenda kuyapata ni shida...Need4speed zote.
Gta.
 
Hizo ulizozizoea sio kuwa hazipo ila huwa wanahamisha servers tu. Uki search google unaweza kupata theirr current domain.. Kama Kickass unaweza kukuta domain ipo Tonga mara Somalia etc
 
Nashukuruni wadau ngoja niingie humo halafu nitaleta mrejesho
 
Back
Top Bottom