Ku-date Mzungu raha sana

kwa ufupi ni kwamba wwe ulienda shule kwa kubahatisha? how com huwezi soma mwenyewe hadi ukaririshwe?
 
SUA watakula kichwa yako siku si nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unamfaa kwa kipi mana umezungumza sifa zake nzuri tu!!
Mana ladies mnapenda kutreat-iwe kma malkia tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ilivyo kawaida yenu makandokando hayawaishi mwenzako ana care bado unalalamika kuwa anapenda kukufuatilia sana. Nyie bakini na sisi tu ndo dawa yenu, mtifuano kuanzia siku ya kuolewa mpka siku ya mwisho wa maisha yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo hajajua hapa bongo tulishaacha kusomesha wachumba.ulivyo sound kibinafsi ,namuonea huruma utakachomfanya baada ya kumaliza hiyo anatomy yako


 
Kati ya vitu huwa sielewi ni hii ya kukataa mpenzi wako asijue nyendo zako. Unampenda na mko ktk mahusiano mazuri, tatizo liko wapi? Unaficha nini?[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…