Ku-copy na ku-paste style za member wa JF

Kwanini uwatukane tanesco???
Hio kesi hata ukipeleka polisi watakushika wewe hapo coz umetutukana tanesco...potezea tu yaishe.

Siku nyingine weka copyright otherwise huu ni mtandao tutaendelea kucopy na kupaste kama kawa
 
Don Juan,

Mkuu Fanya kazi wewee. Hii nchi imesheheni mapori makubwa yaliyozagaa yapo tu kibwerebwerere.
Watu walishatoka huku mkuu. Siku hizi kuna uchumi wa maarifa. Watu wanatajirika kwa mitandao. So, jamaa yupo sahihi kulalamika. Usione wengi hatujui kutumia mitandao kwa faida. Unatengeneza jina na followers, akili kichwani kwako utumie vipi fursa hiyo. Mambo ya kulima viazi ekari mia unawaachia wasukuma. Sasa hivi ni uchumi wa maarifa, knowledge economy.
 
Hata wewe uli-copy kwa jamaa anaitwa yetroo@br , huyu jamaa ndo wakwanza kutumia hizo emoji mwaka 2016. Hapa duniani hakuna jipya mkuu , ila ukianza kuona kitu au kukitumia ujue kunawaliotengeneza wakatumia kwanza wakaona inafaa . kulalamikia emoji mwanamme ni ushamba.
 
Labda Mkuu utuambie huu mpangilio una maana gani tujue hata tusije tuka copy vitu vya ajabu ajabu.
 
Kwanini uwatukane tanesco???
Hio kesi hata ukipeleka polisi watakushika wewe hapo coz umetutukana tanesco...potezea tu yaishe.

Siku nyingine weka copyright otherwise huu ni mtandao tutaendelea kucopy na kupaste kama kawa
Mimi mwenyewe nipo tanesco!
 
Kwa mpangilio kama niliotumia mimi?? Hebu angalia huo mpangilio tena kisha urudi na jibu.
 
Kwanini uwatukane tanesco???
Hio kesi hata ukipeleka polisi watakushika wewe hapo coz umetutukana tanesco...potezea tu yaishe.

Siku nyingine weka copyright otherwise huu ni mtandao tutaendelea kucopy na kupaste kama kawa
Mkuu nifahamishe namna ya kuweka Copyright
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…