Ku-copy na ku-paste style za member wa JF

Pole sana
 
Hii imekuwa kawaida sana siku hizi. Mimi kuna post yangu moja ilitoka humu ikapelekwa Facebook. Baada ya muda, kuna mtu akaitoa Facebook na kuirudisha humu [emoji23][emoji23][emoji23]
Inaboa sana.
 
Nyinyi pia huwa mnakosea kitu kimoja, makala kama hizi muwe mnaandika na marejeo, ukiwa unafanya khiyana na nyinyi lazima mfanyiwe khiyana. Haya ndiyo malipo ya wizi.
 
Hamna banaaaaa fanyeni kazi Acheni porojo jamvini
Usiemjua usimdharau, najua mapito yangu, mvua yangu jua langu. Naumia na baridi kali na jua pia, niko mbali na nyumbani nahussle, then unaongea kirahisi tu fanyeni kazi. Mkuu, tuheshimiane budda! Nafanya kazi zaidi ya ujuavyo hizi porojo za humu jamvini ni sehemu ya kujifariji [emoji848][emoji848][emoji848]
Saint Anne its me Careem.
 
Kinachoniboa mimi, ni ile mtu anajua amecopy ila bado ataedit kidogo na kujifanya kama source ni yeye.
Sasa dah! Inaboa!! Ila huyu kaCopy hadi emoji hakuacha hata nukta, angalia hapo juu kwenye hizo picha.
 
Ingekuwa bora zaidi ugomvi huu ungeubakiza kwenye mtandao huo huo ulikotokea? Waliouona huko ndiyo wangenufaika kwa kusikia pamde zote mbili. Mimi siko huko. Naliona suala hili kwa mara ya kwanza hapa. Na sijui kama mgomvi wako yumo humu JF. Kama hayumo, maonyo yako yatakuwa hayakumfikia. Kama ungeyatoa kulekule yalikotokea bila shaka angepata rejesho lako.
 
Ile mbwa isiyojua kucopy hatimaye imeniblock [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Mkuu maonyo yamemfikia hatimaye kaniblock!!
 
Tumshauri mwenzetu hatua za kufanya, maana hili swala la kukopiwa limemletea msongo wa mawazo na kumwathiri kisaikolojia.
Haipendezi kuiba kitu Cha mtu bila ku acknowledge huo sio uungwana kwenye academic Hilo ni kosa, Ila JF watu wengi huiba taarifa na kupost mitandao mingine Kama wao, kuanzia thread's Hadi comments za watu
 
Haipendezi kuiba kitu Cha mtu bila ku acknowledge huo sio uungwana kwenye academic Hilo ni kosa, Ila JF watu wengi huiba taarifa na kupost mitandao mingine Kama wao, kuanzia thread's Hadi comments za watu

Kuna vitu vya kulalamikia kwamba umeibiwa, ila sioni kama emojis ni moja ya vitu hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…