Ku"block" namba ya simu

commm

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
1,674
1,905
Wakuu habari gani?

Hivi nawezaje kublock namba ya simu ya mtu mwingine asiweze kunipigia simu na kunitumia ujumbe mfupi ikiwa simu ninayotumia haina option ya "blacklist" au "blocklist"
 
Sio vizuri kublock namba ya mtu, mueleze ukweli ama usipokee kabisa simu
 
Uki niblock namba yangu ntakupigia kwa namba yangu nyingine au ntaazima kwa mtu wa karibu nikupigie.
 
Usiku Wa Deni Haukawii Kucha.
Sayansi Kimu Darasa La Nne Kijana Akifika Umri Wa Kubarehe Aepuke Madeni Yasiyo Na Lazima


Tumia Call Blocker
 
Back
Top Bottom