Krismasi ya mapinduzi / crăciunul revoluționar

Wakati wa Magufuli Polepole alikuwa anasema kama ww, leo hii anaishi kama digidigi.
kama taifa tunana kazi ya kusonga mbele tu gentleman,
porojo na stori za patapotea za wakati uliopita bakini nazo nyie mliopoteza uelekeo wa kisiasa :NoGodNo:
 
Na aliewakamatisha ni dereva wao wenyewe ambae aliitwa Nicolae Petrisor ambae walimwambia awaendeshe kuwapeleka mji wa Targoviste.

Badala yake huku akisilikiza redio ya taifa ambayo tiyari matangazo yake yaliingiliwa na wana mapinduzi, Petrisor akapata hamasa za kimapinduzi na akawaendesha hadi kwenye mashamba ambako aliwafungia wasikimbie na akawapa taarifa wanajeshi alipowaacha na wakakamatwa na kupelekwa mahakama ya kijeshi.

Orodha ya mashitaka:

1. Tuhuma za mauaji ya watu 60,000

2. Matumizi mabaya ya mamlaka kwa kuajiri vikosi mbalimbali vya watu wasojulikana kufanya mauaji ya wananchi.

3. Uharibifu wa majengo na mali zingine za serikali.

4. Kudhoofisha uchumi wa nchi.

5. Kujaribu kukimbia nchi na kwenda kutumia fedha walizokwiba na ambazo walificha katika mabenki ya kigeni.
 
Kujaribu kukimbia nchi na kwenda kutumia fedha walizokwiba na ambazo walificha katika mabenki ya kigeni.✌🏿📌🔨
 
Loh! Funzo kubwa. Gawa maraisi wa kurithi ni laana!
Mbona hayo matukio ya mwanzo yote, kuanzia namna ya kuyapata madaraka, kumiliki kikundi cha mauaji, kuteka na kuua, madeni mkubwa, vyote vinafanana na jinsi anavyofanya huyu wa kwetu! Au huyu wa kwetu amecopy na kupaste utawala wa huyo dikteta Chasescu? Bila ya CCM kuondolewa, kuna siku tunaweza kuifikia Romania ya zamani.
 
By Malisa GJ,

Mwaka 1965 aliyekuwa Rais wa Romania Gheorghe Gheorghiu-Dej, alifariki dunia akiwa madarakani. Kwa mujibu wa Katiba yao, Rais akifia madarakani, Katibu mkuu wa chama cha kikomunisti (PCR) anarithi kiti chake. Hivyo ndivyo Nicolae Ceaușescu alivyopata bahati ya kuwa Rais wa Romania bila kutarajia. Urais wa mirathi.

Alipoingia alijaribu kuonesha yeye ni tofauti na mtangulizi wake. Aliachilia huru baadhi ya wafungwa wa kisiasa, kuanzisha maridhiano na wapinzani, kuendeleza miradi ya mtangulizi wake, hasa ujenzi wa nyumba za bei nafuu (affordable housing).

Alitekeleza miradi mingi ya ujenzi kiasi kwamba hakuona hatari ya kukopa fedha nyingi nje ya nchi ili kujenga. Lakini kumbe alifanya ufisadi mkubwa kupitia miradi hiyo. Sehemu kubwa ya fedha zilirudi kupitia kampuni zake au za ndugu zake. Alipandisha deni la Romania kutoka dola bilioni 1 mwaka 1965 hadi dola bilioni 5 mwaka 1970. Yani deni la taifa liliongezeka mara 5 ndani ya miaka mitano tu.

Madeni hayo yalitokana na kukopa pesa nje ya nchi zenye riba kubwa. Kwahiyo alilazimika kuanzisha tozo na kodi mbalimbali ili serikali ipate pesa za kulipa madeni. Wananchi wa Romania walinuka kodi na tozo, kiasi kwamba baadhi walikimbilia nchi jirani kama Serbia na Hungary. Alianzisha kodi hadi kwenye mazao ya chakula kiasi kwamba gharama za chakula ziliongezeka maradufu na watu wengi walishindwa kumudu hata mlo mmoja. Lakini alifanya hivyo ili kupata fedha za kulipa madeni.

Polepole Ceaușescu alianza kubadilika kutoka kiongozi wa maridhiano na kuongoza nchi kwa mkono wa chuma. Hakutaka kukosolewa wala kupingwa. Wale waliojaribu kufanya hivyo walipotea, kutekwa, kuuawa kikatili na miili yao kuokotwa ufukweni, na wengine walifungwa jela kwa makosa ya uhaini.

Kwa mujibu wa taarifa ya CIA iliyoachiliwa mwaka 2010 “Romania: A Situation Report” ilionesha kuwa hadi mwaka 1980 Rais Ceaușescu alikuwa na kikosi cha siri cha zaidi ya watu elfu 70 (wasiojulikana) ambao walihusika kuua, kuteka na kufungulia watu mashtaka ya uongo. Kikosi hicho hakikuwa katika mfumo rasmi unaotambulika, kwa hiyo kiliweza kufanya ukatili wa aina yoyote bila kuwajibishwa.

Miili ya watu waliomkosoa Rais Ceaușescu iliokotwa katika fukwe za bahari nyeusi (The Black Sea) ikiwa na majeraha. Polisi walisema uhalifu huo ulifanywa na watu wasiojulikana na kuahidi kuwatafuta lakini hakuna muuaji aliyewahi kukamatwa.

Matukio hayo yaliendelea kushamiri, watu walikamatwa mchana kweupe wakiwa maofisini, kwenye biashara zao, au kwenye vyombo vya usafiri na kwenda kuuawa. Rais Ceaușescu hakuwahi kukemea wala kuonesha kusikitishwa na vitendo hivyo.

Katika kuimarisha utawala wake wa kiimla Rais Ceaușescu alihakikisha amezicontrol mahakama na bunge vikawa vyombo vya kutekeleza maagizo yake badala ya mihimili inayojitegemea. Bunge likageuka mwanasesere wa kumsifia Rais na mahakama ikapoteza uhuru wake na kuwa chombo cha kufanya maamuzi kwa kumfurahisha Rais.

Katika giza hilo totoro, makanisa nayo yakageuka kasuku wa kuisifia serikali badala ya kusimamia haki. Kanisa la Orthodox la Mashariki lenye waumini wengi zaidi nchini humo (zaidi ya 80%) likawa linatoa nyaraka za kumsifia Rais na kuwataka wananchi kutii mamlaka maana mamlaka zote zinatoka kwa Mungu.

Ili kulicontrol bunge vizuri, Ceaușescu alijenga bunge kubwa la kifahari (pichani), ambalo ni bunge la pili kwa ukubwa duniani baada ya Pentagon, likiwa kwenye eneo la kilomita za mraba 365 ambalo ni kubwa zaidi ya nchi yote ya Malta.

Lakini kaskazini magharibi mwa nchi hiyo katika mji wa Timișoara kulikuwa na Kanisa la Kilutheri lililokuwa likiongozwa na Mchungaji Laszlo Tokes. Alikuwa mmoja wa watu wachache waliothubutu kuikosoa serikali ya dikteta Ceaușescu hadharani. Alikosoa kukithiri kwa vitendo vya ufisadi, kukosekana kwa uhuru wa kuabudu (makanisa kufungwa), wapinzani kutekwa, kupotea, kuuawa na wengine kupewa kesi za uhaini.

Pia Mchungaji Tokes alipinga mauaji ya kabila la Wamagyar yaliyoendeshwa na kikosi cha siri cha Rais Ceaușescu. Katikati ya mamilioni ya wananchi waliokuwa wakimsifu Ceaușescu na kumnyenyekea, Mchungaji Tokes alisimama imara kumkosoa. Alipewa onyo na mamlaka kuwa aache kuchanganya dini na siasa, lakini hakutii. Aliendelea kukosoa na kupinga vitendo vya utekaji, kufunga makanisa, ufisadi etc.

Tar 15 Disemba 1989 Serikali ilifunga Kanisa la Mchungaji Tokes. Rais Ceaușescu akamuita wakala wa Shetani na akaagiza akamatwe. Baada ya amri hiyo, waumini na majirani zake walizingira nyumba yake ili kuzuia askari kumkamata.

Hadi Disemba 16, polisi walikuwa hawajafanikiwa kumkamata Mchungaji Tokes. Rais Ceaușescu akatoa amri ya kuua mtu yeyote aliyekwamisha zoezi hilo.

Polisi wakamimina risasi kama njia ya kuwatawanya wananchi. Siku ya kwanza wakaua watu 106 na kutishia kuua zaidi kama hawatatawanyika kwa hiyari. Lakini kadri polisi walivyotumia nguvu ndivyo waandamanaji walivyoongezeka.

Maandamano yakashika kasi na kuhamia miji ya Cluj-Napoca, Brașov, Constanța, Galați na hatimaye yakafika mji mkuu Bucharest.

Hayakuwa tena maandamano ya kuzuia Mchungaji Tokes kukamatwa bali kupinga utawala dhalimu wa Rais Ceaușescu. Kile kilichoanza kama maandamano ya kidini kilibadilika kuwa maandamano ya kupinga serikali.

Rais Ceaușescu akaamuru waandamanaji wadhibitiwe kwa nguvu na ikibidi wauawe. Polisi na jeshi wakatumia risasi na mabomu. Vifaru vya jeshi vikaingia mtaani kukabiliana na waandamanaji. Watu 1,300 waliuawa ndani ya siku 3. Mauaji hayo yalichochea hasira zaidi kwa wananchi na kuingia barabarani.

Jeshi lilianza kukataa amri za kupiga raia, lakini Polisi waliendelea kupiga. Jeshi likabadilika na kuanza kulinda raia na kuzuia polisi kutumia nguvu. Disemba 21, maandamano yalifika Ikulu ya Bucharest, ambapo Rais Ceaușescu alijaribu kuhutubia lakini hotuba yake ilivurugwa na kelele za upinzani. Ilikuwa mara ya kwanza hotuba ya Rais kuingiliwa moja kwa moja hadharani.

Tar 22 Disemba 1989, Rais Ceaușescu na mkewe Elena walijaribu kutoroka lakini walikamatwa na kuletwa mbele ya umati wa watu wakizomewa kuwa ni wauaji na mafisadi.

Walishtakiwa katika mahakama ya kijeshi (military tribunal) ambapo kesi ilisikilizwa kwa siku 3 tu. Walipatikana na hatia na kuhukumiwa kifo.

Tar 25 Desemba 1989 Rais Nicolae Ceaușescu na mkewe Elena waliuawa kwa kupigwa risasi hadharani huku wananchi wakishuhudia na kushangilia. Na huo ukawa mwisho wa utawala wa dikteta Nicolae Ceaușescu. Siku hiyo ikapewa jina Krismasi ya Uhuru (Crăciunul Revoluționar).!

Umejifunza nini?

Hii story ni kama vile inajirudia Tanzania.
 
Imefanana na Tanzania kwa 100%. Kuingia kwake kukopa ufisadi utekaji kufungia makanisa. Na awamu hii akiendelea mpaka 2030 nchi itakuwa na hali mbaya sana
 
Loh! Funzo kubwa. Gawa maraisi wa kurithi ni laana!
Mbona hayo matukio ya mwanzo yote, kuanzia namna ya kuyapata madaraka, kumiliki kikundi cha mauaji, kuteka na kuua, madeni mkubwa, vyote vinafanana na jinsi anavyofanya huyu wa kwetu! Au huyu wa kwetu amecopy na kupaste utawala wa huyo dikteta Chasescu? Bila ya CCM kuondolewa, kuna siku tunaweza kuifikia Romania ya zamani.
Nadhani hata kifo cha huyo raisi wa romania kitakuwa kilipangwa na huyo mrithi wake maana alijua raisi akifa yeye ndie atarithi
 
Yeendayo yanarudi!
 
Huyo Malisa GJ amechakachua taarifa hii hapo juu. Nime counter check na DeepSearch AI imenipa haya hapa:-

1. “Urais wa mirathi” – si kweli. Katiba haikusema Rais anarithi moja kwa moja. Ceaușescu alipata madaraka kupitia uteuzi wa chama, si kwa urithi wa moja kwa moja.

2. Deni la taifa – madai kwamba liliongezeka mara tano kati ya 1965–1970 si sahihi.

Kwa kweli Romania ilikopa sana miaka ya 1970 kujenga viwanda na miradi ya taifa, na kufikia katikati ya miaka ya 1980 deni lilikuwa limepanda sana.

Baada ya hapo Ceaușescu akaamua kulipa deni lote (kwa kulazimisha wananchi kuishi kwa taabu na kupunguza matumizi ya ndani). 1989 Romania ilikuwa karibu imelipa madeni yake yote – tofauti na unavyosema kwamba aliendelea kuongeza.

3. Taarifa za CIA kuhusu kikosi cha siri cha watu 70– hapa kuna mchanganyiko. Kilichokuwepo ni Securitate, polisi wa siri wa Romania, waliokuwa na mamia ya maelfu ya mawakala na wapelelezi. Lakini haikuwa “kikosi cha watu wasiojulikana” kama inavyodaiwa.

4. Miili kuokotwa kwenye fukwe za Black Sea – hakuna ushahidi wa kihistoria wa madai haya. Ni hadithi za kizamani zisizothibitishwa.

5. Kifo cha watu 1,300 Timișoara na Bucharest – takwimu rasmi ni kuwa karibu 1,100 waliuawa nchi nzima wakati wa Mapinduzi ya 1989, si siku tatu tu.

6. Kesi ilisikilizwa kwa siku tatu – kwa kweli kesi ya Ceaușescu na mkewe ilidumu masaa machache tu (sio siku tatu).

Mytake:
Tuache upotoshaji
 
Loh! Funzo kubwa. Gawa maraisi wa kurithi ni laana!
Mbona hayo matukio ya mwanzo yote, kuanzia namna ya kuyapata madaraka, kumiliki kikundi cha mauaji, kuteka na kuua, madeni mkubwa, vyote vinafanana na jinsi anavyofanya huyu wa kwetu! Au huyu wa kwetu amecopy na kupaste utawala wa huyo dikteta Chasescu? Bila ya CCM kuondolewa, kuna siku tunaweza kuifikia Romania ya zamani.
Ameandika matukio halisi lakini ameongeza uwongo wake kutaka kumfananisha Samia na Nicolau Ceaușescu. Mimi nilikuwa nimekwisha maliza elimu ya chuo kikuu mwaka 1989 na ninayakumbuka matukio hayo vizuri.

Kitu alichokosea ni kutohusisha mapinduzi hayo na kuvunjika kwa Warsaw Pact chini ya iliyokuwa USSR. Ni wakati wa Ronald Reagan akiwa Rais wa USA, Helmut Kohl Chancellor wa West Germany, Lech Walesa Rais wa Poland na Mikail Gorbachev Rais wa USSR.

Bila Warsaw Pact kuparaganyika kupitia kuanguka BERLIN wall na kuziunganisha East Germany na West German, kisha USSR kusambaratika pengine hata Nivolau Ceaușescu asingepinduliwa.

Mytake:
Ceaușescu Hakupinduliwa sababu ya madeni na hizo sababu za Malisa GJ, bali ni wimbi lililokuwa linapita nchi zote za Eastern Europe ndani ya Warsaw Pact
 
KRISMASI YA MAPINDUZI / CRĂCIUNUL REVOLUȚIONAR

By Malisa GJ,

Mwaka 1965 aliyekuwa Rais wa Romania Gheorghe Gheorghiu-Dej, alifariki dunia akiwa madarakani. Kwa mujibu wa Katiba yao, Rais akifia madarakani, Katibu mkuu wa chama cha kikomunisti (PCR) anarithi kiti chake. Hivyo ndivyo Nicolae Ceaușescu alivyopata bahati ya kuwa Rais wa Romania bila kutarajia. Urais wa mirathi.

Alipoingia alijaribu kuonesha yeye ni tofauti na mtangulizi wake. Aliachilia huru baadhi ya wafungwa wa kisiasa, kuanzisha maridhiano na wapinzani, kuendeleza miradi ya mtangulizi wake, hasa ujenzi wa nyumba za bei nafuu (affordable housing).

Alitekeleza miradi mingi ya ujenzi kiasi kwamba hakuona hatari ya kukopa fedha nyingi nje ya nchi ili kujenga. Lakini kumbe alifanya ufisadi mkubwa kupitia miradi hiyo. Sehemu kubwa ya fedha zilirudi kupitia kampuni zake au za ndugu zake. Alipandisha deni la Romania kutoka dola bilioni 1 mwaka 1965 hadi dola bilioni 5 mwaka 1970. Yani deni la taifa liliongezeka mara 5 ndani ya miaka mitano tu.

Madeni hayo yalitokana na kukopa pesa nje ya nchi zenye riba kubwa. Kwahiyo alilazimika kuanzisha tozo na kodi mbalimbali ili serikali ipate pesa za kulipa madeni. Wananchi wa Romania walinuka kodi na tozo, kiasi kwamba baadhi walikimbilia nchi jirani kama Serbia na Hungary. Alianzisha kodi hadi kwenye mazao ya chakula kiasi kwamba gharama za chakula ziliongezeka maradufu na watu wengi walishindwa kumudu hata mlo mmoja. Lakini alifanya hivyo ili kupata fedha za kulipa madeni.

Polepole Ceaușescu alianza kubadilika kutoka kiongozi wa maridhiano na kuongoza nchi kwa mkono wa chuma. Hakutaka kukosolewa wala kupingwa. Wale waliojaribu kufanya hivyo walipotea, kutekwa, kuuawa kikatili na miili yao kuokotwa ufukweni, na wengine walifungwa jela kwa makosa ya uhaini.

Kwa mujibu wa taarifa ya CIA iliyoachiliwa mwaka 2010 “Romania: A Situation Report” ilionesha kuwa hadi mwaka 1980 Rais Ceaușescu alikuwa na kikosi cha siri cha zaidi ya watu elfu 70 (wasiojulikana) ambao walihusika kuua, kuteka na kufungulia watu mashtaka ya uongo. Kikosi hicho hakikuwa katika mfumo rasmi unaotambulika, kwa hiyo kiliweza kufanya ukatili wa aina yoyote bila kuwajibishwa.

Miili ya watu waliomkosoa Rais Ceaușescu iliokotwa katika fukwe za bahari nyeusi (The Black Sea) ikiwa na majeraha. Polisi walisema uhalifu huo ulifanywa na watu wasiojulikana na kuahidi kuwatafuta lakini hakuna muuaji aliyewahi kukamatwa.

Matukio hayo yaliendelea kushamiri, watu walikamatwa mchana kweupe wakiwa maofisini, kwenye biashara zao, au kwenye vyombo vya usafiri na kwenda kuuawa. Rais Ceaușescu hakuwahi kukemea wala kuonesha kusikitishwa na vitendo hivyo.

Katika kuimarisha utawala wake wa kiimla Rais Ceaușescu alihakikisha amezicontrol mahakama na bunge vikawa vyombo vya kutekeleza maagizo yake badala ya mihimili inayojitegemea. Bunge likageuka mwanasesere wa kumsifia Rais na mahakama ikapoteza uhuru wake na kuwa chombo cha kufanya maamuzi kwa kumfurahisha Rais.

Katika giza hilo totoro, makanisa nayo yakageuka kasuku wa kuisifia serikali badala ya kusimamia haki. Kanisa la Orthodox la Mashariki lenye waumini wengi zaidi nchini humo (zaidi ya 80%) likawa linatoa nyaraka za kumsifia Rais na kuwataka wananchi kutii mamlaka maana mamlaka zote zinatoka kwa Mungu.

Ili kulicontrol bunge vizuri, Ceaușescu alijenga bunge kubwa la kifahari (pichani), ambalo ni bunge la pili kwa ukubwa duniani baada ya Pentagon, likiwa kwenye eneo la kilomita za mraba 365 ambalo ni kubwa zaidi ya nchi yote ya Malta.

Lakini kaskazini magharibi mwa nchi hiyo katika mji wa Timișoara kulikuwa na Kanisa la Kilutheri lililokuwa likiongozwa na Mchungaji Laszlo Tokes. Alikuwa mmoja wa watu wachache waliothubutu kuikosoa serikali ya dikteta Ceaușescu hadharani. Alikosoa kukithiri kwa vitendo vya ufisadi, kukosekana kwa uhuru wa kuabudu (makanisa kufungwa), wapinzani kutekwa, kupotea, kuuawa na wengine kupewa kesi za uhaini.

Pia Mchungaji Tokes alipinga mauaji ya kabila la Wamagyar yaliyoendeshwa na kikosi cha siri cha Rais Ceaușescu. Katikati ya mamilioni ya wananchi waliokuwa wakimsifu Ceaușescu na kumnyenyekea, Mchungaji Tokes alisimama imara kumkosoa. Alipewa onyo na mamlaka kuwa aache kuchanganya dini na siasa, lakini hakutii. Aliendelea kukosoa na kupinga vitendo vya utekaji, kufunga makanisa, ufisadi etc.

Tar 15 Disemba 1989 Serikali ilifunga Kanisa la Mchungaji Tokes. Rais Ceaușescu akamuita wakala wa Shetani na akaagiza akamatwe. Baada ya amri hiyo, waumini na majirani zake walizingira nyumba yake ili kuzuia askari kumkamata.

Hadi Disemba 16, polisi walikuwa hawajafanikiwa kumkamata Mchungaji Tokes. Rais Ceaușescu akatoa amri ya kuua mtu yeyote aliyekwamisha zoezi hilo.

Polisi wakamimina risasi kama njia ya kuwatawanya wananchi. Siku ya kwanza wakaua watu 106 na kutishia kuua zaidi kama hawatatawanyika kwa hiyari. Lakini kadri polisi walivyotumia nguvu ndivyo waandamanaji walivyoongezeka.

Maandamano yakashika kasi na kuhamia miji ya Cluj-Napoca, Brașov, Constanța, Galați na hatimaye yakafika mji mkuu Bucharest.

Hayakuwa tena maandamano ya kuzuia Mchungaji Tokes kukamatwa bali kupinga utawala dhalimu wa Rais Ceaușescu. Kile kilichoanza kama maandamano ya kidini kilibadilika kuwa maandamano ya kupinga serikali.

Rais Ceaușescu akaamuru waandamanaji wadhibitiwe kwa nguvu na ikibidi wauawe. Polisi na jeshi wakatumia risasi na mabomu. Vifaru vya jeshi vikaingia mtaani kukabiliana na waandamanaji. Watu 1,300 waliuawa ndani ya siku 3. Mauaji hayo yalichochea hasira zaidi kwa wananchi na kuingia barabarani.

Jeshi lilianza kukataa amri za kupiga raia, lakini Polisi waliendelea kupiga. Jeshi likabadilika na kuanza kulinda raia na kuzuia polisi kutumia nguvu. Disemba 21, maandamano yalifika Ikulu ya Bucharest, ambapo Rais Ceaușescu alijaribu kuhutubia lakini hotuba yake ilivurugwa na kelele za upinzani. Ilikuwa mara ya kwanza hotuba ya Rais kuingiliwa moja kwa moja hadharani.

Tar 22 Disemba 1989, Rais Ceaușescu na mkewe Elena walijaribu kutoroka lakini walikamatwa na kuletwa mbele ya umati wa watu wakizomewa kuwa ni wauaji na mafisadi.

Walishtakiwa katika mahakama ya kijeshi (military tribunal) ambapo kesi ilisikilizwa kwa siku 3 tu. Walipatikana na hatia na kuhukumiwa kifo.

Tar 25 Desemba 1989 Rais Nicolae Ceaușescu na mkewe Elena waliuawa kwa kupigwa risasi hadharani huku wananchi wakishuhudia na kushangilia. Na huo ukawa mwisho wa utawala wa dikteta Nicolae Ceaușescu. Siku hiyo ikapewa jina Krismasi ya Uhuru (Crăciunul Revoluționar).!

Umejifunza nini?
 
KRISMASI YA MAPINDUZI / CRĂCIUNUL REVOLUȚIONAR

By Malisa GJ,

Mwaka 1965 aliyekuwa Rais wa Romania Gheorghe Gheorghiu-Dej, alifariki dunia akiwa madarakani. Kwa mujibu wa Katiba yao, Rais akifia madarakani, Katibu mkuu wa chama cha kikomunisti (PCR) anarithi kiti chake. Hivyo ndivyo Nicolae Ceaușescu alivyopata bahati ya kuwa Rais wa Romania bila kutarajia. Urais wa mirathi.

Alipoingia alijaribu kuonesha yeye ni tofauti na mtangulizi wake. Aliachilia huru baadhi ya wafungwa wa kisiasa, kuanzisha maridhiano na wapinzani, kuendeleza miradi ya mtangulizi wake, hasa ujenzi wa nyumba za bei nafuu (affordable housing).

Alitekeleza miradi mingi ya ujenzi kiasi kwamba hakuona hatari ya kukopa fedha nyingi nje ya nchi ili kujenga. Lakini kumbe alifanya ufisadi mkubwa kupitia miradi hiyo. Sehemu kubwa ya fedha zilirudi kupitia kampuni zake au za ndugu zake. Alipandisha deni la Romania kutoka dola bilioni 1 mwaka 1965 hadi dola bilioni 5 mwaka 1970. Yani deni la taifa liliongezeka mara 5 ndani ya miaka mitano tu.

Madeni hayo yalitokana na kukopa pesa nje ya nchi zenye riba kubwa. Kwahiyo alilazimika kuanzisha tozo na kodi mbalimbali ili serikali ipate pesa za kulipa madeni. Wananchi wa Romania walinuka kodi na tozo, kiasi kwamba baadhi walikimbilia nchi jirani kama Serbia na Hungary. Alianzisha kodi hadi kwenye mazao ya chakula kiasi kwamba gharama za chakula ziliongezeka maradufu na watu wengi walishindwa kumudu hata mlo mmoja. Lakini alifanya hivyo ili kupata fedha za kulipa madeni.

Polepole Ceaușescu alianza kubadilika kutoka kiongozi wa maridhiano na kuongoza nchi kwa mkono wa chuma. Hakutaka kukosolewa wala kupingwa. Wale waliojaribu kufanya hivyo walipotea, kutekwa, kuuawa kikatili na miili yao kuokotwa ufukweni, na wengine walifungwa jela kwa makosa ya uhaini.

Kwa mujibu wa taarifa ya CIA iliyoachiliwa mwaka 2010 “Romania: A Situation Report” ilionesha kuwa hadi mwaka 1980 Rais Ceaușescu alikuwa na kikosi cha siri cha zaidi ya watu elfu 70 (wasiojulikana) ambao walihusika kuua, kuteka na kufungulia watu mashtaka ya uongo. Kikosi hicho hakikuwa katika mfumo rasmi unaotambulika, kwa hiyo kiliweza kufanya ukatili wa aina yoyote bila kuwajibishwa.

Miili ya watu waliomkosoa Rais Ceaușescu iliokotwa katika fukwe za bahari nyeusi (The Black Sea) ikiwa na majeraha. Polisi walisema uhalifu huo ulifanywa na watu wasiojulikana na kuahidi kuwatafuta lakini hakuna muuaji aliyewahi kukamatwa.

Matukio hayo yaliendelea kushamiri, watu walikamatwa mchana kweupe wakiwa maofisini, kwenye biashara zao, au kwenye vyombo vya usafiri na kwenda kuuawa. Rais Ceaușescu hakuwahi kukemea wala kuonesha kusikitishwa na vitendo hivyo.

Katika kuimarisha utawala wake wa kiimla Rais Ceaușescu alihakikisha amezicontrol mahakama na bunge vikawa vyombo vya kutekeleza maagizo yake badala ya mihimili inayojitegemea. Bunge likageuka mwanasesere wa kumsifia Rais na mahakama ikapoteza uhuru wake na kuwa chombo cha kufanya maamuzi kwa kumfurahisha Rais.

Katika giza hilo totoro, makanisa nayo yakageuka kasuku wa kuisifia serikali badala ya kusimamia haki. Kanisa la Orthodox la Mashariki lenye waumini wengi zaidi nchini humo (zaidi ya 80%) likawa linatoa nyaraka za kumsifia Rais na kuwataka wananchi kutii mamlaka maana mamlaka zote zinatoka kwa Mungu.

Ili kulicontrol bunge vizuri, Ceaușescu alijenga bunge kubwa la kifahari (pichani), ambalo ni bunge la pili kwa ukubwa duniani baada ya Pentagon, likiwa kwenye eneo la kilomita za mraba 365 ambalo ni kubwa zaidi ya nchi yote ya Malta.

Lakini kaskazini magharibi mwa nchi hiyo katika mji wa Timișoara kulikuwa na Kanisa la Kilutheri lililokuwa likiongozwa na Mchungaji Laszlo Tokes. Alikuwa mmoja wa watu wachache waliothubutu kuikosoa serikali ya dikteta Ceaușescu hadharani. Alikosoa kukithiri kwa vitendo vya ufisadi, kukosekana kwa uhuru wa kuabudu (makanisa kufungwa), wapinzani kutekwa, kupotea, kuuawa na wengine kupewa kesi za uhaini.

Pia Mchungaji Tokes alipinga mauaji ya kabila la Wamagyar yaliyoendeshwa na kikosi cha siri cha Rais Ceaușescu. Katikati ya mamilioni ya wananchi waliokuwa wakimsifu Ceaușescu na kumnyenyekea, Mchungaji Tokes alisimama imara kumkosoa. Alipewa onyo na mamlaka kuwa aache kuchanganya dini na siasa, lakini hakutii. Aliendelea kukosoa na kupinga vitendo vya utekaji, kufunga makanisa, ufisadi etc.

Tar 15 Disemba 1989 Serikali ilifunga Kanisa la Mchungaji Tokes. Rais Ceaușescu akamuita wakala wa Shetani na akaagiza akamatwe. Baada ya amri hiyo, waumini na majirani zake walizingira nyumba yake ili kuzuia askari kumkamata.

Hadi Disemba 16, polisi walikuwa hawajafanikiwa kumkamata Mchungaji Tokes. Rais Ceaușescu akatoa amri ya kuua mtu yeyote aliyekwamisha zoezi hilo.

Polisi wakamimina risasi kama njia ya kuwatawanya wananchi. Siku ya kwanza wakaua watu 106 na kutishia kuua zaidi kama hawatatawanyika kwa hiyari. Lakini kadri polisi walivyotumia nguvu ndivyo waandamanaji walivyoongezeka.

Maandamano yakashika kasi na kuhamia miji ya Cluj-Napoca, Brașov, Constanța, Galați na hatimaye yakafika mji mkuu Bucharest.

Hayakuwa tena maandamano ya kuzuia Mchungaji Tokes kukamatwa bali kupinga utawala dhalimu wa Rais Ceaușescu. Kile kilichoanza kama maandamano ya kidini kilibadilika kuwa maandamano ya kupinga serikali.

Rais Ceaușescu akaamuru waandamanaji wadhibitiwe kwa nguvu na ikibidi wauawe. Polisi na jeshi wakatumia risasi na mabomu. Vifaru vya jeshi vikaingia mtaani kukabiliana na waandamanaji. Watu 1,300 waliuawa ndani ya siku 3. Mauaji hayo yalichochea hasira zaidi kwa wananchi na kuingia barabarani.

Jeshi lilianza kukataa amri za kupiga raia, lakini Polisi waliendelea kupiga. Jeshi likabadilika na kuanza kulinda raia na kuzuia polisi kutumia nguvu. Disemba 21, maandamano yalifika Ikulu ya Bucharest, ambapo Rais Ceaușescu alijaribu kuhutubia lakini hotuba yake ilivurugwa na kelele za upinzani. Ilikuwa mara ya kwanza hotuba ya Rais kuingiliwa moja kwa moja hadharani.

Tar 22 Disemba 1989, Rais Ceaușescu na mkewe Elena walijaribu kutoroka lakini walikamatwa na kuletwa mbele ya umati wa watu wakizomewa kuwa ni wauaji na mafisadi.

Walishtakiwa katika mahakama ya kijeshi (military tribunal) ambapo kesi ilisikilizwa kwa siku 3 tu. Walipatikana na hatia na kuhukumiwa kifo.

Tar 25 Desemba 1989 Rais Nicolae Ceaușescu na mkewe Elena waliuawa kwa kupigwa risasi hadharani huku wananchi wakishuhudia na kushangilia. Na huo ukawa mwisho wa utawala wa dikteta Nicolae Ceaușescu. Siku hiyo ikapewa jina Krismasi ya Uhuru (Crăciunul Revoluționar).!

Umejifunza nini?
Ameandika matukio halisi lakini ameongeza uwongo wake kutaka kumfananisha Samia na Nicolau Ceaușescu. Mimi nilikuwa nimekwisha maliza elimu ya chuo kikuu mwaka 1989 na ninayakumbuka matukio hayo vizuri.

Kitu alichokosea ni kutohusisha mapinduzi hayo na kuvunjika kwa Warsaw Pact chini ya iliyokuwa USSR. Ni wakati wa Ronald Reagan akiwa Rais wa USA, Helmut Kohl Chancellor wa West Germany, Lech Walesa Rais wa Poland na Mikail Gorbachev Rais wa USSR.

Bila Warsaw Pact kuparaganyika kupitia kuanguka BERLIN wall na kuziunganisha East Germany na West German, kisha USSR kusambaratika pengine hata Nivolau Ceaușescu asingepinduliwa.

Mytake:
Ceaușescu Hakupinduliwa sababu ya madeni na hizo sababu za Malisa GJ, bali ni wimbi lililokuwa linapita nchi zote za Eastern Europe ndani ya Warsaw Pact
 
Same same like what's going to happen right here! Lakini kwa njia tofauti kidogo itakayowashangaza watawala!

October ni mbali!
 
By Malisa GJ,

Mwaka 1965 aliyekuwa Rais wa Romania Gheorghe Gheorghiu-Dej, alifariki dunia akiwa madarakani. Kwa mujibu wa Katiba yao, Rais akifia madarakani, Katibu mkuu wa chama cha kikomunisti (PCR) anarithi kiti chake. Hivyo ndivyo Nicolae Ceaușescu alivyopata bahati ya kuwa Rais wa Romania bila kutarajia. Urais wa mirathi.

Alipoingia alijaribu kuonesha yeye ni tofauti na mtangulizi wake. Aliachilia huru baadhi ya wafungwa wa kisiasa, kuanzisha maridhiano na wapinzani, kuendeleza miradi ya mtangulizi wake, hasa ujenzi wa nyumba za bei nafuu (affordable housing).

Alitekeleza miradi mingi ya ujenzi kiasi kwamba hakuona hatari ya kukopa fedha nyingi nje ya nchi ili kujenga. Lakini kumbe alifanya ufisadi mkubwa kupitia miradi hiyo. Sehemu kubwa ya fedha zilirudi kupitia kampuni zake au za ndugu zake. Alipandisha deni la Romania kutoka dola bilioni 1 mwaka 1965 hadi dola bilioni 5 mwaka 1970. Yani deni la taifa liliongezeka mara 5 ndani ya miaka mitano tu.

Madeni hayo yalitokana na kukopa pesa nje ya nchi zenye riba kubwa. Kwahiyo alilazimika kuanzisha tozo na kodi mbalimbali ili serikali ipate pesa za kulipa madeni. Wananchi wa Romania walinuka kodi na tozo, kiasi kwamba baadhi walikimbilia nchi jirani kama Serbia na Hungary. Alianzisha kodi hadi kwenye mazao ya chakula kiasi kwamba gharama za chakula ziliongezeka maradufu na watu wengi walishindwa kumudu hata mlo mmoja. Lakini alifanya hivyo ili kupata fedha za kulipa madeni.

Polepole Ceaușescu alianza kubadilika kutoka kiongozi wa maridhiano na kuongoza nchi kwa mkono wa chuma. Hakutaka kukosolewa wala kupingwa. Wale waliojaribu kufanya hivyo walipotea, kutekwa, kuuawa kikatili na miili yao kuokotwa ufukweni, na wengine walifungwa jela kwa makosa ya uhaini.

Kwa mujibu wa taarifa ya CIA iliyoachiliwa mwaka 2010 “Romania: A Situation Report” ilionesha kuwa hadi mwaka 1980 Rais Ceaușescu alikuwa na kikosi cha siri cha zaidi ya watu elfu 70 (wasiojulikana) ambao walihusika kuua, kuteka na kufungulia watu mashtaka ya uongo. Kikosi hicho hakikuwa katika mfumo rasmi unaotambulika, kwa hiyo kiliweza kufanya ukatili wa aina yoyote bila kuwajibishwa.

Miili ya watu waliomkosoa Rais Ceaușescu iliokotwa katika fukwe za bahari nyeusi (The Black Sea) ikiwa na majeraha. Polisi walisema uhalifu huo ulifanywa na watu wasiojulikana na kuahidi kuwatafuta lakini hakuna muuaji aliyewahi kukamatwa.

Matukio hayo yaliendelea kushamiri, watu walikamatwa mchana kweupe wakiwa maofisini, kwenye biashara zao, au kwenye vyombo vya usafiri na kwenda kuuawa. Rais Ceaușescu hakuwahi kukemea wala kuonesha kusikitishwa na vitendo hivyo.

Katika kuimarisha utawala wake wa kiimla Rais Ceaușescu alihakikisha amezicontrol mahakama na bunge vikawa vyombo vya kutekeleza maagizo yake badala ya mihimili inayojitegemea. Bunge likageuka mwanasesere wa kumsifia Rais na mahakama ikapoteza uhuru wake na kuwa chombo cha kufanya maamuzi kwa kumfurahisha Rais.

Katika giza hilo totoro, makanisa nayo yakageuka kasuku wa kuisifia serikali badala ya kusimamia haki. Kanisa la Orthodox la Mashariki lenye waumini wengi zaidi nchini humo (zaidi ya 80%) likawa linatoa nyaraka za kumsifia Rais na kuwataka wananchi kutii mamlaka maana mamlaka zote zinatoka kwa Mungu.

Ili kulicontrol bunge vizuri, Ceaușescu alijenga bunge kubwa la kifahari (pichani), ambalo ni bunge la pili kwa ukubwa duniani baada ya Pentagon, likiwa kwenye eneo la kilomita za mraba 365 ambalo ni kubwa zaidi ya nchi yote ya Malta.

Lakini kaskazini magharibi mwa nchi hiyo katika mji wa Timișoara kulikuwa na Kanisa la Kilutheri lililokuwa likiongozwa na Mchungaji Laszlo Tokes. Alikuwa mmoja wa watu wachache waliothubutu kuikosoa serikali ya dikteta Ceaușescu hadharani. Alikosoa kukithiri kwa vitendo vya ufisadi, kukosekana kwa uhuru wa kuabudu (makanisa kufungwa), wapinzani kutekwa, kupotea, kuuawa na wengine kupewa kesi za uhaini.

Pia Mchungaji Tokes alipinga mauaji ya kabila la Wamagyar yaliyoendeshwa na kikosi cha siri cha Rais Ceaușescu. Katikati ya mamilioni ya wananchi waliokuwa wakimsifu Ceaușescu na kumnyenyekea, Mchungaji Tokes alisimama imara kumkosoa. Alipewa onyo na mamlaka kuwa aache kuchanganya dini na siasa, lakini hakutii. Aliendelea kukosoa na kupinga vitendo vya utekaji, kufunga makanisa, ufisadi etc.

Tar 15 Disemba 1989 Serikali ilifunga Kanisa la Mchungaji Tokes. Rais Ceaușescu akamuita wakala wa Shetani na akaagiza akamatwe. Baada ya amri hiyo, waumini na majirani zake walizingira nyumba yake ili kuzuia askari kumkamata.

Hadi Disemba 16, polisi walikuwa hawajafanikiwa kumkamata Mchungaji Tokes. Rais Ceaușescu akatoa amri ya kuua mtu yeyote aliyekwamisha zoezi hilo.

Polisi wakamimina risasi kama njia ya kuwatawanya wananchi. Siku ya kwanza wakaua watu 106 na kutishia kuua zaidi kama hawatatawanyika kwa hiyari. Lakini kadri polisi walivyotumia nguvu ndivyo waandamanaji walivyoongezeka.

Maandamano yakashika kasi na kuhamia miji ya Cluj-Napoca, Brașov, Constanța, Galați na hatimaye yakafika mji mkuu Bucharest.

Hayakuwa tena maandamano ya kuzuia Mchungaji Tokes kukamatwa bali kupinga utawala dhalimu wa Rais Ceaușescu. Kile kilichoanza kama maandamano ya kidini kilibadilika kuwa maandamano ya kupinga serikali.

Rais Ceaușescu akaamuru waandamanaji wadhibitiwe kwa nguvu na ikibidi wauawe. Polisi na jeshi wakatumia risasi na mabomu. Vifaru vya jeshi vikaingia mtaani kukabiliana na waandamanaji. Watu 1,300 waliuawa ndani ya siku 3. Mauaji hayo yalichochea hasira zaidi kwa wananchi na kuingia barabarani.

Jeshi lilianza kukataa amri za kupiga raia, lakini Polisi waliendelea kupiga. Jeshi likabadilika na kuanza kulinda raia na kuzuia polisi kutumia nguvu. Disemba 21, maandamano yalifika Ikulu ya Bucharest, ambapo Rais Ceaușescu alijaribu kuhutubia lakini hotuba yake ilivurugwa na kelele za upinzani. Ilikuwa mara ya kwanza hotuba ya Rais kuingiliwa moja kwa moja hadharani.

Tar 22 Disemba 1989, Rais Ceaușescu na mkewe Elena walijaribu kutoroka lakini walikamatwa na kuletwa mbele ya umati wa watu wakizomewa kuwa ni wauaji na mafisadi.

Walishtakiwa katika mahakama ya kijeshi (military tribunal) ambapo kesi ilisikilizwa kwa siku 3 tu. Walipatikana na hatia na kuhukumiwa kifo.

Tar 25 Desemba 1989 Rais Nicolae Ceaușescu na mkewe Elena waliuawa kwa kupigwa risasi hadharani huku wananchi wakishuhudia na kushangilia. Na huo ukawa mwisho wa utawala wa dikteta Nicolae Ceaușescu. Siku hiyo ikapewa jina Krismasi ya Uhuru (Crăciunul Revoluționar).!

Umejifunza nini?
Ninejifunza historia hujirudia...Na hakuna jipya chini ya jua...December Hadith fulani hivi ya usiku wa Giza inaenda kukamilika...Hivi ni Nini nimeandika, usingizi ulinipitia nikaanza kuota
 
Back
Top Bottom