Kozi yenye ajira

soma unachokipenda... mambo ya ajira siku hizi hayaeleweki...

hata ukikosa ajira hutaumia sana kama umesoma unachopenda... kuliko usome husichokipenda kisha ukose ajira
 
Ajira zipo kotekote tu hapo. Ila kwa ardhi huenda ukapata ajira mapema zaidi.
 
Back
Top Bottom