Stanley Mims
Member
- Aug 29, 2020
- 48
- 86
Hello wanajukwaa.
Natoa huduma ya kufundisha kozi ya kiingereza (English Course) kwa watu wazima wa elimu kuanzia darasa la saba.
Kozi inafundishwa kwenye madaraja matatu (3)
1. Basic level
2. Intermidiate level
3. Advanced level
Madaraja yote hayo yanategemea na ngazi ya elimu ya mwanafunzi husika.
Muda wa level ya kwanza ni mwezi mmoja, la level ya pili ni siku 20.
Kingereza kitafundishwa cha kuzungumza (Oral) na kuandika (written)
Mawasiliano: 0743123946
Karibuni sana.