Muda mwinigi sana watu wamelaghaiwa kushinda darasani kujifunza lugha, lugha ni maisha ndugu yangu, lugha ni "interaction" sio kushinda darasani, watu wanadhani kukaa darasani ama kuwa na vipindi vingi kwa maana ya miezi na miezi ndio kujua lugha, lugha ni Programming, na sio kuwa passive darasani kumsikiliza Mwalimu, its a big lie.
Wapo niliowa program ndani ya mwezi tu, na wakawa facilitated ku interact na mazingira ya kujifunza Kingereza, at the end of the day, wakawa na passion, unadhani unahitaji muda mrefu sana kumfunza mtu maneno zaidi ya 4000 ya Kingereza, wewe umesoma miaka mingapi elimu yako yote? Unaweza kujinadi kusema unajua Kingereza??