Almalik mokiwa
Senior Member
- Jun 5, 2020
- 147
- 157
Jamaa umenikera sana.Bachelor of commerce in Human Resources ya udsm tu ndio nzuri , kwanza wanasoma masomo mengi sana yani na tulikua tunasoma nao hadi accounts , kama ana division one mwambie aombe transfer ahamie udsm , magoli sana pale mdogo wangu mi nimeshamaliza muda pale natamani hata nirudi tena nimemiss udbs yangu
Sijui wanafunzi wa UDSM mnakuwaga na shida gani kwenye bongo zenyu.
Huwezi kukutana na mwanafunzi aliyesoma au anaesoma UDSM alaf asilete majivuno, kila unayekutana nae yuko bize kuongea hovyo kama hawana vichwa. Mnakuwa wasomi wa hovyo, simameni katika ukweli, achaneni na hisia zenu zinazotoka kwenye bongo zenu za popo. Nimekutana na Graduate kutoka SAUT kada ya sheria yuko vizuri kuliko hao mnaowafuga kwa kukalili hapo Yudizim.
Hembu mjishikilie.


hasira za nini kwani nimekuchagua mimi huko Jordan university 