Kozi ya human resource unaweza kujiajiri?

muneera75

Senior Member
Joined
Oct 12, 2019
Posts
190
Reaction score
318
Habari zenu.
Guys I am starting with apologize.Nilikua nataka kujua kozi ya human resources unaweza kujiajiri?If yes,How? I need some explaination about ugumu wa kozi hiyo na urahisi wake pia. Na kama pia unajua chuo ambacho wako vizuri kwa hiyo kozi.
Thanks in advance.
 
Ni moja kati ya kozi nyepesi ngazi ya degree pili degree ya usimamuzi rasilimali watu nikuulize tu utai apply wapi unapoamua kujifanyia shughuri zako.. Jibu ni ngumu

Ushauri kama unataka ufanye shughuri zako mwenyewe soma business administration utapata elim kuhusu biashara...marketing and public relation. Mass communication utafanya kwenye private institutions...diploma za afya au degree zake utafungua ata maduka ya madawa ata ualimu soma utajiajiri mwenyewe siyo hyo yako
 
Kuna

Thanks for your opinion.
Yani kuna ndugu ang amemaliza six amepata chuo cha mzumbe mbeya kozi ya human resource management kwasababu alikua nakosa vyuo kila round afu she got division 1.kwahiyo watu wanamwambia there is no job nowadays kwahiyo kwa umri wake afu hata chuo ajaanza akawa shocked mara anakua na mawazo sana. So nikamwambia let me ask huku jf then ntamwambia..
 
Muhusika ni wewe mwenyewe, acha kuzunguka zunguka binti, kwani ukisema ukweli utaota mkia?

Nenda kasome hiyo HRM, mzumbe ndo mabingwa wa HRM hapa Tanzania. Unaweza kuajiriwa kama HR officer serikalini au private sector.

Kuhusu kujiajiri, hakuna coz maalum ambayo mtu akiisoma basi ndo ataweza kujiajiri. Kujiajiri ni ujanja wako na mtaji wako tu ndiyo vitu muhimu.

Kuna watu wana elimu ya darasa la saba tu na wamejiajiri kwenye kilimo, ufugaji na wengine kwenye biashara, wanapiga pesa za maana na wamewaajiri wasomi wenye degrees.

Soma kile ukipendacho, kujiajiri hakujalishi una elimu gani. Wasalimie Mzumbe!
 
Ni moja kati ya kozi nyepesi ngazi ya degree pili degree ya usimamuzi rasilimali watu nikuulize tu utai apply wapi unapoamua kujifanyia shughuri zako.. Jibu ni ngumu

Ushauri kama unataka ufanye shughuri zako mwenyewe soma business administration utapata elim kuhusu biashara...marketing and public relation. Mass communication utafanya kwenye private institutions...diploma za afya au degree zake utafungua ata maduka ya madawa ata ualimu soma utajiajiri mwenyewe siyo hyo yako
Kwani HRM huwezi kufanya kwenye private institutions?

Hivi wafanya biashara wote wamesoma business administration?? Unawaza soma degree ya business administration na ukashindwa kumiliki hata genge la kuuza dagaa, na mtu alosoma ICT, HRM, au mwenye elimu ya darasa la saba akawa mfanya biashara mkubwa tu.

Kuwa mfanya biashara hakujalishi una elimu gani!
 
habari zenu.
guys am starting with apologize.Nilikua nataka kujua koziya human resources unaweza kujiajiri?If yes,How? I need some explaination about ugumu wa kozi hiyo and urahisi wake pia.And kama pia unajua chuo ambacho wako vizuri kwa hiyo kozi.
Thanks in advance.

Avatar yako Maasha-Allah Wallah...!

Yaa Khaaliq Yaa Khaaliq.
 
Muhusika ni wewe mwenyewe, acha kuzunguka zunguka binti, kwani ukisema ukweli utaota mkia?

Nenda kasome hiyo HRM, mzumbe ndo mabingwa wa HRM hapa Tanzania. Unaweza kuajiriwa kama HR officer serikalini au private sector.

Kuhusu kujiajiri, hakuna coz maalum ambayo mtu akiisoma basi ndo ataweza kujiari. Kujiajiri ni ujanja wako na mtaji wako tu ndiyo vitu muhimu.

Kuna watu wana elimu ya darasa la saba tu na wamejiajiri kwenye kilimo, ufugaji na wengine kwenye biashara, wanapiga pesa za maana na wamewaajiri wasomi wenye degrees.

Soma kile ukipendacho, kujiajiri hakujalishi una elimu gani. Wasalimie Mzumbe!

Thanks bro.
i appreciate maneno ako. In fact Nasoma BBA this time naingia second year apo mzumbe mbeya.But sijui chochote kuhusu BHRM yani tangu nikae chuo sijapata rafiki wa BHRM thats why nikaamua niulize huku. But apart from maneno yako i just like other side of your words ni nzuri.Thanks though😋
 
Bachelor of commerce in Human Resources ya udsm tu ndio nzuri , kwanza wanasoma masomo mengi sana yani na tulikua tunasoma nao hadi accounts , kama ana division one mwambie aombe transfer ahamie udsm , magoli sana pale mdogo wangu mi nimeshamaliza muda pale natamani hata nirudi tena nimemiss udbs yangu
Thanks bro.
i appreciate maneno ako. In fact Nasoma BBA this time naingia second year apo mzumbe mbeya.But sijui chochote kuhusu BHRM yani tangu nikae chuo sijapata rafiki wa BHRM thats why nikaamua niulize huku. But apart from maneno yako i just like other side of your words ni nzuri.Thanks though
 
Kuna

Thanks for your opinion.
Yani kuna ndugu ang amemaliza six amepata chuo cha mzumbe mbeya kozi ya human resource management kwasababu alikua nakosa vyuo kila round afu she got division 1.kwahiyo watu wanamwambia there is no job nowadays kwahiyo kwa umri wake afu hata chuo ajaanza akawa shocked mara anakua na mawazo sana. So nikamwambia let me ask huku jf then ntamwambia..
Kwakwel katika kozi ambayo haina manufaa kwa Sasa Moja wapo Ni hiyo.ina graduates wengi Sana mtaani na Ni ngumu kujiajiri nafuu hata sheria unaweza fungua kaofisi kakubangaiza
 
"kujiari n rahisi? Hapana, inawezekana? Ndio"
Kuna kitu kinaitwa outsourcing baadhi ya makapuni yanayoanza au kuchipukia hata makubwa huwa wanapenda kazi zao zifanywe na watu wengine mfano people management, hivyo kwenye hiyo kozi kuna watu wana makampuni, hiring agency, people training and development etc
Hakuna kozi ambayo huwezi jiari kinachokwamisha ni uthubutu na mtaji
 
Thanks bro.
i appreciate maneno ako. In fact Nasoma BBA this time naingia second year apo mzumbe mbeya.But sijui chochote kuhusu BHRM yani tangu nikae chuo sijapata rafiki wa BHRM thats why nikaamua niulize huku. But apart from maneno yako i just like other side of your words ni nzuri.Thanks though😋
Halafu umeenda kufungua uzi mwingine kuulizia tofauti ya Mzumbe ya Mbeya na Mzumbe ya Morogoro wkt ww mwenyewe uko mzumbe, unajiona mjanjaaaaa kuzungusha watu? unajizungusha mwenyewe, yaani unajitekenya nakucheka mwenyewe. acha Ufala
 
Ayah fala mwenzangu😂
 
Hakuna taaluma duniani ambayo mtu hawezi kukiajiri mwenyewe.
Narudia tena hakuna taaluma duniani ambayo mtu hawezi kujiajiri mwenyewe.

Hiyo course unaweza kujiajiri vizuri sana tu.
habari zenu.
guys am starting with apologize.Nilikua nataka kujua koziya human resources unaweza kujiajiri?If yes,How? I need some explaination about ugumu wa kozi hiyo and urahisi wake pia.And kama pia unajua chuo ambacho wako vizuri kwa hiyo kozi.
Thanks in advance.
 
Hiyo ni course nzuri tu na inafursa nyingi za ajira lakini kujiajiri anaweza kujiajiri bila shida yoyote.
Kwani HRM huwezi kufanya kwenye private institutions?

Hivi wafanya biashara wote wamesoma business administration?? Unawaza soma degree ya business administration na ukashindwa kumiliki hata genge la kuuza dagaa, na mtu alosoma ICT, HRM, au mwenye elimu ya darasa la saba akawa mfanya biashara mkubwa tu.

Kuwa mfanya biashara hakujalishi una elimu gani!
 
Acha kufananisha sheria na hayo matakataka mengine
Kwakwel katika kozi ambayo haina manufaa kwa Sasa Moja wapo Ni hiyo.ina graduates wengi Sana mtaani na Ni ngumu kujiajiri nafuu hata sheria unaweza fungua kaofisi kakubangaiza
 
Thanks bro.
i appreciate maneno ako. In fact Nasoma BBA this time naingia second year apo mzumbe mbeya.But sijui chochote kuhusu BHRM yani tangu nikae chuo sijapata rafiki wa BHRM thats why nikaamua niulize huku. But apart from maneno yako i just like other side of your words ni nzuri.Thanks though😋

Siku nikija Mbeya nitakutafuta ili nikutoe out! Na ole wako unizingue.
 
Write your reply...na mm nauliza koz ya B of commerce and human resource management alisoma kombi ya hgk au hgl anaweza kukibaliwa kusoma hiy koz kam amepata one?
 
Bachelor of commerce in Human Resources ya udsm tu ndio nzuri , kwanza wanasoma masomo mengi sana yani na tulikua tunasoma nao hadi accounts , kama ana division one mwambie aombe transfer ahamie udsm , magoli sana pale mdogo wangu mi nimeshamaliza muda pale natamani hata nirudi tena nimemiss udbs yangu
SHULE YA MENEJIMENT TANZANIA IKO MZUMBE. ACHA KUPOTOSHA. Sio kila kozi basi UDSM watakuwa bora, big No!.
kuna kozi huwezi pambanisha UDSM na MZUMBE, kuwa mwangalifu. Mfano waliosoma Education UDSM wako bora kuliko wanaotoka MZUMBE, lakini katika masuala ya fedha na uongozi hivi vyuo viwili huwezi kuvifananisha. MZUMBE itabaki kuwa bora.
Kwenye fakati ya sheria bado kuna coalition Mzumbe wanatoa nondo na UDSM wanatoa Nondo. ila katika soko la ajira wanasheria wa Mzumbe wana soko kubwa. FANYA TAFITI usiongee kama mwanafunzi wa UDISM.
ACHANA NA MSUKUMO WAKO WA KIHISIA.
 
Back
Top Bottom