Kozi ya diploma in physiotherapy

Viungo, Mazoezi na Mengine ya kufanana na hayo. Ila Operation ni uongo kwa level ya diploma usidanganywe.
 
Viungo, Mazoezi na Mengine ya kufanana na hayo kama Massage nk Ila Operation ni uongo kwa level ya diploma usidanganywe.
 
Nakushauri soma ni course ambayo inahitaji wataalamu wengi ntakupa takwimu ndogo tu kwa siku kila mkoa kuna ajali zaidi ya 10 za bodaboda ukitoa ajari nyingine au maradhi mengine yanayohitaji physiotherapy so soma utanishukuru baadae
 
Back
Top Bottom