Kozi: Oil and Gas na Electrical and Electronics Engineering ipi bora?

Oct 31, 2017
64
32
Wazee naomba kuuliza kati ya hizi kozi mbili Oil and gas engineering na Electrical and electronics Eng ipi soko lake LA ajira limekaa sawa baada ya kuhitimu?
 
Petroleum petroleum namba wanaisoma,
Watu wana masters zao namba wanaisoma
watu wana PHD zao namba wanaisoma
namba shufwa wanazisoma
namba witiri namba tasa,
Watu wana mauzoefu yao namba wanaisoma
Wewe una degree yako, mchezo utauweza?
Wewe unaka bachelor kako mchezo utauweza?
Mdogo mdogo wangu, mdogo wangu, usiiguse petroleum
Waachie walio igusa waendelee kuisoma namba,
usiiguse petroleum namba utaisoma
Watu wenye one za tatu namba wanaisoma
watu wenye one za nne namba wanaisoma
watu wenye one za tano mamba wanaisoma,.
Ww mwenye two yako utauweza mchezo,
Kusoma namba sio mchezo,
Kawaulize chekechea,
huu ni mwaka wa tano,
kwa watalaam wa petroleum,
Kama na wewe unapenda bac chagua petroleum,
Petroleum unaipenda na namba utaisoma,
Petroleum ni janga usichague petroleum,
Badirisha kozi haraka usisome petroleum,
Ewe kijana wa petroleum uliyepo chuoni,
Weka vzuri hela yako, kusoma namba ni kazi.
Namalzia kwa kusema, petroleum itakuumiza,
Naweka karamu chini nawe achana na petroleum,
Usiiguse petroleum engineering itakusomesha namba mtaani
Usiiguse Petroleum chemisry itakusomesha namba mtaani
Usiiguse Petroleum geology itakusomesha namba mtaani,
Ewe ndugu yangu wa petroleum, kama Mechanical engineering ipo nenda kaisome hiyo, hutojuta.
Usiende huko kwenye Oil and gas, mafuta hayo yatakuchoma, yatakubabu huo mwili
Bora ukasome electrical ukapigwe na short ya umeme.
 
Mdogo wangu cha msingi ni kusoma kitu chochote kile unachopenda. Kisome kwa bidii na kufaulu kwa kiwango kikubwa. Vile vile kuwa na ujuz wa ziada wa kozi husika ili kuweza kufuzu katika ushindan wa ajira na pia kuweza kujiajir.
 
Mkuu kwa mim nakushauri bora usome Electrical and Electronics Engineering ina soko pia ukimaliza kuna uwezekano mkubwa wa kuajiriwa au hta kujiajiri mim mmoja wao nimefanya hio.
 
Wazee naomba kuuliza kati ya hizi kozi mbili Oil and gas engineering na Electrical and electronics Eng ipi soko lake LA ajira limekaa sawa baada ya kuhitimu?
Petroleum petroleum namba wanaisoma,
Watu wana masters zao namba wanaisoma
watu wana PHD zao namba wanaisoma
namba shufwa wanazisoma
namba witiri namba tasa,
Watu wana mauzoefu yao namba wanaisoma
Wewe una degree yako, mchezo utauweza?
Wewe unaka bachelor kako mchezo utauweza?
Mdogo mdogo wangu, mdogo wangu, usiiguse petroleum
Waachie walio igusa waendelee kuisoma namba,
usiiguse petroleum namba utaisoma
Watu wenye one za tatu namba wanaisoma
watu wenye one za nne namba wanaisoma
watu wenye one za tano mamba wanaisoma,.
Ww mwenye two yako utauweza mchezo,
Kusoma namba sio mchezo,
Kawaulize chekechea,
huu ni mwaka wa tano,
kwa watalaam wa petroleum,
Kama na wewe unapenda bac chagua petroleum,
Petroleum unaipenda na namba utaisoma,
Petroleum ni janga usichague petroleum,
Badirisha kozi haraka usisome petroleum,
Ewe kijana wa petroleum uliyepo chuoni,
Weka vzuri hela yako, kusoma namba ni kazi.
Namalzia kwa kusema, petroleum itakuumiza,
Naweka karamu chini nawe achana na petroleum,
Usiiguse petroleum engineering itakusomesha namba mtaani
Usiiguse Petroleum chemisry itakusomesha namba mtaani
Usiiguse Petroleum geology itakusomesha namba mtaani,
Ewe ndugu yangu wa petroleum, kama Mechanical engineering ipo nenda kaisome hiyo, hutojuta.
 
hahahah nime

hahhaa nimecheka sana ila nimekuelewa Mkuu
 
Mdogo wangu cha msingi ni kusoma kitu chochote kile unachopenda. Kisome kwa bidii na kufaulu kwa kiwango kikubwa. Vile vile kuwa na ujuz wa ziada wa kozi husika ili kuweza kufuzu katika ushindan wa ajira na pia kuweza kujiajir.
asante kwa ushauri
 
Petrol and gas moto ushazimika bongo labda km unaweza ukajichanganya Angola Nigeria Cape Verde. Hapa sioni future
 
Petroleum petroleum namba wanaisoma,
Watu wana masters zao namba wanaisoma
watu wana PHD zao namba wanaisoma
namba shufwa wanazisoma
namba witiri namba tasa,
Watu wana mauzoefu yao namba wanaisoma
Wewe una degree yako, mchezo utauweza?
Wewe unaka bachelor kako mchezo utauweza?
Mdogo mdogo wangu, mdogo wangu, usiiguse petroleum
Waachie walio igusa waendelee kuisoma namba,
usiiguse petroleum namba utaisoma
Watu wenye one za tatu namba wanaisoma
watu wenye one za nne namba wanaisoma
watu wenye one za tano mamba wanaisoma,.
Ww mwenye two yako utauweza mchezo,
Kusoma namba sio mchezo,
Kawaulize chekechea,
huu ni mwaka wa tano,
kwa watalaam wa petroleum,
Kama na wewe unapenda bac chagua petroleum,
Petroleum unaipenda na namba utaisoma,
Petroleum ni janga usichague petroleum,
Badirisha kozi haraka usisome petroleum,
Ewe kijana wa petroleum uliyepo chuoni,
Weka vzuri hela yako, kusoma namba ni kazi.
Namalzia kwa kusema, petroleum itakuumiza,
Naweka karamu chini nawe achana na petroleum,
Usiiguse petroleum engineering itakusomesha namba mtaani
Usiiguse Petroleum chemisry itakusomesha namba mtaani
Usiiguse Petroleum geology itakusomesha namba mtaani,
Ewe ndugu yangu wa petroleum, kama Mechanical engineering ipo nenda kaisome hiyo, hutojuta.
Usiende huko kwenye Oil and gas, mafuta hayo yatakuchoma, yatakubabu huo mwili
Bora ukasome electrical ukapigwe na short ya umeme.
Boss hii kitu umeandika kama Kungwi
 
Oil and gas nzuri tatizo ajira ishu. Hiyo nyingine uhakika upo wa ajira
 
Bwana mdogo soma umeme tu hio oil and gas itakuumiza kitaa japo utapata mkopo 100% ila mbele lazima utambue majuto ni mjukuu
 
Kitu chengine pia unaweza kufanya hio oil and gas ila tu kwa hapa kwetu maweza kusema fursa ni ngumu kiupande falni.

Ila utakapomaliza unaweza ukaomba kazi kwenye meli za tanker.
Kwa wenzetu fursa ni nyingi na wafanyakazi wanatakiwa.
 
Back
Top Bottom