hamna kozi inayolipa,soma yeyote cha msingi uwe jembe itakulipa wapo waliosoma bcom ni maskin tu,wapo ni walimu wametoka kwa kuanzisha mageto ya tuition unamkumbuka mkandawili-jembe,kila sector inalipa inategemea na ukakamavu na competence yako
kama kweli unataka wadau tukusaidie lazima ujieleze vya kutosha . Mfano wewe unaelimu gani kwa sasa, umesoma masomo gani, umefaulu masomo gani?. Kwa kuelewa hayo tutaweza kukushauri mengi kwa kuzingatia ushindani wa kozi mbalimbali katika mchakato wa kudahili, uwezekano wa kupata ajira au hata kujiajii n.k.Thanks