Omusolopogasi JF-Expert Member Joined Aug 31, 2017 Posts 7,101 Reaction score 18,085 Sep 28, 2019 #1 Wakuu, Niko Dar. Nahitaji kufanya kozi fupi katika maeneo tajwa hapo juu. Naomba recommendation ya sehemu nzuri ya kuzipata. Data analysis kwa Stata. Asanteni.
Wakuu, Niko Dar. Nahitaji kufanya kozi fupi katika maeneo tajwa hapo juu. Naomba recommendation ya sehemu nzuri ya kuzipata. Data analysis kwa Stata. Asanteni.
SUKAH JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 1,819 Reaction score 2,061 Apr 2, 2020 #2 Udemy Sent using Jamii Forums mobile app
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,177 Reaction score 14,156 Apr 2, 2020 #3 Jaribu online mkuu
Ahmed Saidi JF-Expert Member Joined Oct 15, 2019 Posts 1,671 Reaction score 3,600 Apr 3, 2020 #4 Kama unahitajika kujifunza tu, download lectures za Han van der kwast you tube, Ni nzuri na anatoa useful links kwaajili ya kujifunza zaidi. Ila ndio hivyo itakuwa umepata ujuzi bila cheti, shukran...
Kama unahitajika kujifunza tu, download lectures za Han van der kwast you tube, Ni nzuri na anatoa useful links kwaajili ya kujifunza zaidi. Ila ndio hivyo itakuwa umepata ujuzi bila cheti, shukran...
mugah di matheo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 6,344 Reaction score 12,472 Apr 3, 2020 #5 Kujifunza YouTube cheti udism