kova with sethi....

kova with sethi....

Ipe nenooooooo

Mafisadi wanalindwa na kupewa baraka zote na viongozi wakuu wa serikali.

Sitashangaa hata hivi tunavyozungumza tayari ameshapatiwa ulinzi na pengine hata usafiri kuhakikisha anaondoka nchini kiulaini. Tunageuzwa mazuzu mchana kweupe!!!
 
Pesa ni sabuni ya roho.Mahakama kuu inalijua ilo na kulienzi.

Kama mahakama kuu imenunuliwa je hizi mahakama za chini hali ikoje?
 
Uswahiba pembeni! Huyo singa singa awekwe ndani na afilisiwe ili tukanunue madawa hospitalini!!
 
Njaaaaboooo jamaaa kakamatakila sehemuuuu huyu ikiamriwa akamatwe unahisi NANI atamkamata

Kwiwkwiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom