Kosea vyote, usikosee mume

Aisee aikwambie mtu kosea kuchagua nguo, utabadilisha, kosea rafiki utawapotezea lakini usikosee mume. Ukikosea mwanaume wa kuolewa nae tu, umekosea kila kitu.
Kikweli wanaume wa siku hizi, hawana uchungu hata kidogo na familia zao.

Utakuta mume ana mke na watoto lakini Bado anaongozwa na maeneno ya ndugu zake na mama yake. Sisemi kuwa Ni vibaya kuisikiliza wazazi wako na dada na Kaka zako la hasha. Unaweza kuwasikiliza lakini maneno ya kuambiwa changanya na ya kwako.

Wewe nii mume sasa na sio mtoto mdogo, unafamilia hao ndio kaka na dada zako wa kwanza, damu yako. Ndio watu wa kwanza unaotakiwa kuwasikiliza.

Unakuta mwanaume anapata mshahara wote anampelekea mama yake, mke akiitaji matumizi anaambiwa akayafutae kwa mama mkwe, hivi kweli jamani?

Wengine wanaleta wazazi, hasa mama zao waje wakae Hapo anapoishi na mke wake. Hivi unadhani Ni ustaarabu kwa mama kusikia mambo yote mnayoyafanya mkiwa chumbani.

Mnakosa hata muda wa faragha kati yenu mwishowe mnajikuta hamna mapenzi Tena kwenye ndoa kwasababu hamuhudumiani.

Na mwanamke hawezi kukuambia usimlete mama yako, kwasababu ataonekana ana roho mbaya. Ila ukweli ndio huo.

Wanaume wengine mkipata pesa kidogo tu mnataka ujionyeshe kwa watu kuwa wewe una mapesa, eti unaweka heshima baa. Embu acheni ujinga mkalee familia zenu. Kama hamuyataki majukumu kwanini mmeingia kwenye ndoa?
Wanaume mjirekebishe jamani, inasikitisha Sana.
Rafiki wa kweli ni mama!! Mpaka mmefikia uko lazima na wewe una mapungufu!!! Ina maana kabla hujaoelwa hukuona hayo unayoadisia? Ni kama una karoho kabaya ivi....!!!!' kwaiyo mama kuja om napo ni shida? Kumpa pesa mama yake nayo ni shida? Wacha jamaa audumie mama yake bana mkuu.... Unataka hela zote uzuiie?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sizungumzii kumshauri mtoto wako, huo ni wajibu wako. ikiwezekana hata kumsaidia ili asonge mbele.
Pili, sikatazi wazazi kuomba msaada kwa watoto wao au watoto kuwasaidia wazazi wao.

Nachozungumzia mimi ni wazazi kuwapa watoto space, hivi kwa mfano mtoto wako ndo kaingia kwenye ndoa, hajajenga, wewe mzazi uko nyumbani kwako?

Inaingia akilini kumkomalia mtoto wako afanye ukarabati wa nyumbani kwako/kwao huku hata kiwanja hana? kwa nini usimkomalie ajenge kwanza?

Pili, ndo kwanza amepata mtoto au hajapata, kuna sababu ya msingi kumkomalia asaidie kusomesha watoto wa ndugu zake? badala ya kumkomalia akazane fasta apate watoto mapema?

Tatu, unaamia nyumbani kwa mtoto wako, hauumwi, wala huko kwako sio kwamba mafuriko yameharibu nyumba au kuna vita, why? unajifanya wewe mtoto wao au?
Hapo kwenye kumshauli ajenge kwao alafu wewe hutaki unataka aanze kujenga nyumba yenu sijui kiwanja ndo umepoteza pambano hapo.
Always nyumbani kwanza
 
Hakuna aliyekukataza usijenge kwenu, hata mimi nilijenga kwetu kabla sijajenga kwingine, tofautisha kujenga kwenu na kujengea wazazi wako kabla haujajenga yako.
 
Aisee aikwambie mtu kosea kuchagua nguo, utabadilisha, kosea rafiki utawapotezea lakini usikosee mume. Ukikosea mwanaume wa kuolewa nae tu, umekosea kila kitu.
Kikweli wanaume wa siku hizi, hawana uchungu hata kidogo na familia zao.

Utakuta mume ana mke na watoto lakini Bado anaongozwa na maeneno ya ndugu zake na mama yake. Sisemi kuwa Ni vibaya kuisikiliza wazazi wako na dada na Kaka zako la hasha. Unaweza kuwasikiliza lakini maneno ya kuambiwa changanya na ya kwako.

Wewe nii mume sasa na sio mtoto mdogo, unafamilia hao ndio kaka na dada zako wa kwanza, damu yako. Ndio watu wa kwanza unaotakiwa kuwasikiliza.

Unakuta mwanaume anapata mshahara wote anampelekea mama yake, mke akiitaji matumizi anaambiwa akayafutae kwa mama mkwe, hivi kweli jamani?

Wengine wanaleta wazazi, hasa mama zao waje wakae Hapo anapoishi na mke wake. Hivi unadhani Ni ustaarabu kwa mama kusikia mambo yote mnayoyafanya mkiwa chumbani.

Mnakosa hata muda wa faragha kati yenu mwishowe mnajikuta hamna mapenzi Tena kwenye ndoa kwasababu hamuhudumiani.

Na mwanamke hawezi kukuambia usimlete mama yako, kwasababu ataonekana ana roho mbaya. Ila ukweli ndio huo.

Wanaume wengine mkipata pesa kidogo tu mnataka ujionyeshe kwa watu kuwa wewe una mapesa, eti unaweka heshima baa. Embu acheni ujinga mkalee familia zenu. Kama hamuyataki majukumu kwanini mmeingia kwenye ndoa?
Wanaume mjirekebishe jamani, inasikitisha Sana.
kwa U/N hii inabidi uwe verified tu..
 
Kwani mwanaume akikuoa ndiyo mawasiliano na wazazi wake na ndugu zake yanaisha? Msiangalie upande wenu angalia upande mwingine pia utakuta kote tuna umuhimu.
 
That's actually not my under bed jargons. U should be ashamed of urself trying to force a relationship on sb. U are laughableu know, go get a life instead of trying to force a relationship on sb. I'm here trying to make a change in my society & u just want to look cool. We can't be the same much less be in a relationship with you. Seriously go get a life. This harassment thing is not working u picked a wrong Person.
U'r unspeakable harsh type of woman, so you deserve what U'r passin' through, Yet! you are teaming up with full of verbal abuse!! dat s your nature! you won't avoid it! en' primitive type of psychological torturin' woman! if not! how comes to denigrates someone dat, you've never met with! just like de way you are behaving!

Surely am tellin' you! in a broad day light! ''with such kind of born with trait! U'll succumb to no where'' without even a single dot of Horse rider!! trust ma' words!! of course there no reasons behind to force like de way you think!! you are in wrong truck! shift!
 
Kumbe u know kwamba hatujawahi kukutana why did u say kwamba I'm ur wife. Ur an attention seeker exactly the trait that I despise.

Attention seekin' for unstable family dwellers just like de way you are? ....seriously? I pet u! .... any way surely, u still've a Long journey to de peaks!!
 
Aisee aikwambie mtu kosea kuchagua nguo, utabadilisha, kosea rafiki utawapotezea lakini usikosee mume. Ukikosea mwanaume wa kuolewa nae tu, umekosea kila kitu.
Kikweli wanaume wa siku hizi, hawana uchungu hata kidogo na familia zao.

Utakuta mume ana mke na watoto lakini Bado anaongozwa na maeneno ya ndugu zake na mama yake. Sisemi kuwa Ni vibaya kuisikiliza wazazi wako na dada na Kaka zako la hasha. Unaweza kuwasikiliza lakini maneno ya kuambiwa changanya na ya kwako.

Wewe nii mume sasa na sio mtoto mdogo, unafamilia hao ndio kaka na dada zako wa kwanza, damu yako. Ndio watu wa kwanza unaotakiwa kuwasikiliza.

Unakuta mwanaume anapata mshahara wote anampelekea mama yake, mke akiitaji matumizi anaambiwa akayafutae kwa mama mkwe, hivi kweli jamani?

Wengine wanaleta wazazi, hasa mama zao waje wakae Hapo anapoishi na mke wake. Hivi unadhani Ni ustaarabu kwa mama kusikia mambo yote mnayoyafanya mkiwa chumbani.

Mnakosa hata muda wa faragha kati yenu mwishowe mnajikuta hamna mapenzi Tena kwenye ndoa kwasababu hamuhudumiani.

Na mwanamke hawezi kukuambia usimlete mama yako, kwasababu ataonekana ana roho mbaya. Ila ukweli ndio huo.

Wanaume wengine mkipata pesa kidogo tu mnataka ujionyeshe kwa watu kuwa wewe una mapesa, eti unaweka heshima baa. Embu acheni ujinga mkalee familia zenu. Kama hamuyataki majukumu kwanini mmeingia kwenye ndoa?
Wanaume mjirekebishe jamani, inasikitisha Sana.
Kwa hiyo mama mkwe anasikia unavyopelekewa moto na husband
 
Back
Top Bottom