Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,608
- 2,736
Hapo ndio huwa mnaharibu nyie wadada, halafu mnakuwa wa kwanza kulalama, katika hali ya kawaida tu, haiwezekanai umchukilie mume ndunguze halafu akupende, kosa kubwa mnalofanya huwa ni kujaribu kumtenganisha mume na ndugu zake,Kupenda ndugu ndo umlete Mama yako wakati unajua unachumba kimoja.Ndo mshahara umpe wote, mke akihitaji matumizi unamwambia aende achukue kwa Mama yako.
Mkuu kwani unadhani atasemaje hapo? atasema ivoivo!! eti ''ya walimwengu'' yaani huyu mke wangu kisirani sana, hapo kajipanga kunishambulia maksudi tu! na anajua maksudi mie ntajua tu! ananitumia ujumbe kijanja!! halafu avatar yangu hajibu,Yaani kaunganisha mambo mpaka unahisi kweli. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu kwani unadhani atasemaje hapo? atasema ivoivo!! eti ''ya walimwengu'' yaani huyu mke wangu kisirani sana, hapo kajipanga kunishambulia
AKhsante Coaster2015, Mungu akubariki sana!! tena sijakosea Mungu akubariki mpaka ushangae! Huyuhuyu! Jackie kanambia kwa mdomo wake, nilipotakakutumia gari yetu, ambayo yeye jack aliiegesha nyumbani kwa Mamaake, eti nika muombe Mama yake Gari yetu! Mwee! ina huuu!Hapo ndio huwa mnaharibu nyie wadada, halafu mnakuwa wa kwanza kulalama, katika hali ya kawaida tu, haiwezekanai umchukilie mume ndunguze halafu akupende, kosa kubwa mnalofanya huwa ni kujaribu kumtenganisha mume na ndugu zake,
Mdada, ukitaka mume akuelewe vizuri mpendee ndugu zake, hatakuwa na sababu yeyote ya kukufikiria vibaya, hata kama unataka kumwambia jambo kuhusu ndugu zake, mwambie kwa maarifa mengi, sio unaamua kuchukia ndugu zake ukitegemea atawafukuza ubaki wewe peke yako nyumbani
Akijibu hili nitagKwahiyo mume asipende Ndugu wala wazazi wake?;;
SAwa bana najua hiki kiburi unakipata kwa nani? hii avatr ni yako tuuuMwnyewe nimeshangaa
Ninachokisema Ni kwamba vitu vingine havi postiwi...lakini andiko langu si la kwangu peke angu. Haya mambo yanatuzunguka sisi wote.Sasa hapa ndio wanimiksi kabisa maana hata jeiefu ni sosho media, wanipa ushawishi nisiamini hata uzi wako mdada
Sijui una mtu kweli anayeitwa Jackie au unafanya hivi kwa propaganda na uweze kujulikana au watu wakuonee huruma au umepanga tu kunichafua au una furahia uigizaji wako. Mimi sio mkeo, niliamua niipotezee nikidhani huu ni utani, but naona unaendelea mzee. Naomba ujiheshimu na uniheshimu. Mimi sipendi sifa za kipuuzi.Mkuu kwani unadhani atasemaje hapo? atasema ivoivo!! eti ''ya walimwengu'' yaani huyu mke wangu kisirani sana, hapo kajipanga kunishambulia maksudi tu! na anajua maksudi mie ntajua tu! ananitumia ujumbe kijanja!! halafu avatar yangu hajibu,
Hata yaani huyu! FB, yumo!, w/app yumo!, Instagram!, mawee niseme nini mie! ila mie huko nimekausha, kasoro Quora tu ndo simuoni kurandaranda kule!! yaaani huyu mwanamke ni pasua kichwa sana,
Yaani iko ivi hata nikimwambia haya! ataniruka, kifupi amejipanga kunichafua na kunitumia maujumbe ya kijinga kupitia humu, aliwahi nambia kuwa nina kisirani simsikilizi, Oooh! sijui nina asili ya Mara ndo maana nina kiburi ivi!! dadazake wanamchekea!
Ila basi tu dawa yake naijua, najua kabisa nikimwambia atakana tu futi mia! eti siyo yeye ni majina tu kufanana!! lkn story izi zinaenda sawa,sawa n tunavoishi. wanawake yaani mie sina hamu mie!! na simu yake haiguswi mkali huyo!! kununa sasa Maweee!
Sasa mie nimechukua jukumu la kwanza kumuonyesha dadake anavo ninanga mdogo wake mitandaoni, dadake kaniruka anasema eti ni pressure yangu tu!! yaani wanadharau hawa!!! heee! sometimes anajishahu! ukimuhakikishia ujinga wake anafake km utani ivi!1
yaani nina mengi sana ya kuongea kuhusu huyu Mwanamke, Mkuu unajua chanzo ni nini mpaka tufikie hatua hii? kipindi falni nyuma Mie niliomba ushauri tu uliomuhusu yeye! humu humu JF lkn sikumtaja, ila
niliweka kwa majina X'' kwa jinsi tuvokuwa tunaishi kiharakati nikatoa km hadithi!! km ujuavyo kuna vidada vimbeya km nini! si vikapeleka habari bana!! akainyaka! ndo na yeye ananifanyia ivi kulipizia!
Ajabu sasa yeye kapata wachangiaji wengi ajili yeye ni mwanamke! lkn mie nilipata kiduchuuuu!! tena sidhani km uzi wenyewe bado uko humu! ila hyu Mke wangu bana hapana nahisi kizunguzungu!! kuna siku niliwaza nianze kimya kimya? roho nyingine ikakataa!
Usimuone ivo kuniruka eti mie kujitetea ni ya walimwengu hata Nyumbani ivoivo! ni tabia ya mke wangu! ana kipaji cha kujikausha na jambo likapotea kihivo!!
sasa hapo ndo chanzo cha haya yooote make aliniambia ivi ''tutaona basi mimi na wewe nani mwenye haki!! sasa kuuumbe na yeye ameyaleta humu, akibisha ule uzi wangu ntaufufua hapa hapa!
Lkn sasa wanawake hawana akili anaweza weka humu mpaka picha yangu, mnione weee!! wakunanga waninange, si mtanijua? hicho tu ndo sipendi!! yaani ka-mwanamke kakorofi ni hakn mfano!! haya majina ya kina Jack haya?? jamani pwiiiii!!! Mie tena .......... nimekoma mie!
Sijasema hivyo. Nilichomaanisha Ni kwamba kila kitu kipewe nafasi yake na pale utakapo shindwa kufanya hivyo ndo marumbano yatakapoanza. Mama atabaki kuwa mama, ndugu watabaki kuwa ndugu na mke atabaki kuwa mke. Na ndio maana Neno laMungu linasema kuwa mwanaume na mwanamke wataacha familia zao wataungana na kuwa mwili mmoja. Na kitu chochote ambacho mnafanya inabidi muongee na mkubaliane kwa pamoja.Kwahiyo mume asipende Ndugu wala wazazi wake?;;
Aisee aikwambie mtu kosea kuchagua nguo, utabadilisha, kosea rafiki utawapotezea lakini usikosee mume. Ukikosea mwanaume wa kuolewa nae tu, umekosea kila kitu.
Kikweli wanaume wa siku hizi, hawana uchungu hata kidogo na familia zao.
Utakuta mume ana mke na watoto lakini Bado anaongozwa na maeneno ya ndugu zake na mama yake. Sisemi kuwa Ni vibaya kuisikiliza wazazi wako na dada na Kaka zako la hasha. Unaweza kuwasikiliza lakini maneno ya kuambiwa changanya na ya kwako.
Wewe nii mume sasa na sio mtoto mdogo, unafamilia hao ndio kaka na dada zako wa kwanza, damu yako. Ndio watu wa kwanza unaotakiwa kuwasikiliza.
Unakuta mwanaume anapata mshahara wote anampelekea mama yake, mke akiitaji matumizi anaambiwa akayafutae kwa mama mkwe, hivi kweli jamani?
Wengine wanaleta wazazi, hasa mama zao waje wakae Hapo anapoishi na mke wake. Hivi unadhani Ni ustaarabu kwa mama kusikia mambo yote mnayoyafanya mkiwa chumbani. Mnakosa hata muda wa faragha kati yenu mwishowe mnajikuta hamna mapenzi Tena kwenye ndoa kwasababu hamuhudumiani.
Na mwanamke hawezi kukuambia usimlete mama yako, kwasababu ataonekana ana roho mbaya. Ila ukweli ndio huo.
Wanaume wengine mkipata pesa kidogo tu mnataka ujionyeshe kwa watu kuwa wewe una mapesa, eti unaweka heshima baa. Embu acheni ujinga mkalee familia zenu. Kama hamuyataki majukumu kwanini mmeingia kwenye ndoa?
Wanaume mjirekebishe jamani, inasikitisha Sana.
Mtu wangu sikoseagi mie! miaka yote hiyo wewe nisikujue? si unaona mara ngapi umenambia kauli km hii eti ''mie si mkeo?;; tena vile vile ongea yako mie naijua bana sibahatishi!! si ulinambia iv ivi siku ile paleee mbele ya masangatiNinachokisema Ni kwamba vitu vingine havi postiwi...lakini andiko langu si la kwangu peke angu. Haya mambo yanatuzunguka sisi wote.
Sijui una mtu kweli anayeitwa Jackie au unafanya hivi kwa propaganda na uweze kujulikana au watu wakuonee huruma au umepanga tu kunichafua au una furahia uigizaji wako. Mimi sio mkeo, niliamua niipotezee nikidhani huu ni utani, but naona unaendelea mzee. Naomba ujiheshimu na uniheshimu. Mimi sipendi sifa za kipuuzi.
Aisee sifanyi huo ujinga. Kama ndio njia yako ya kupata contacts na picha zangu umefeli kabisa. Ni bora ungeomba tu instead ya kutumia those stupid tricks, what a senseless person.Mtu wangu sikoseagi mie! miaka yote hiyo wewe nisikujue? si unaona mara ngapi umenambia kauli km hii eti ''mie si mkeo?;; tena vile vile ongea yako mie naijua bana sibahatishi!! si ulinambia iv ivi siku ile paleee mbele ya masangati
baada ya kula ndizi choma na nundu umesahau? km vipi siyo kweli nitumie picha yako tu in box nimuone sasa hivi
Aisee sifanyi huo ujinga. Kama ndio njia yako ya kupata contacts na picha zangu umefeli kabisa. Ni bora ungeomba tu instead ya kutumia those stupid tricks, what a senseless person.
Am not stupid as such! unless other wise U'r too!, above all you'r senseless too! cause u' forwarded your under bed naked jargons! if not U' would'nt have dared to behave like dat!! as a well buttered type of woman!Aisee sifanyi huo ujinga. Kama ndio njia yako ya kupata contacts na picha zangu umefeli kabisa. Ni bora ungeomba tu instead ya kutumia those stupid tricks, what a senseless person.
Tafuta hela.Obviously wanaume wazuri wa roho tupo ila hatuna hela. Nanyi sasa hivi mnaangalia material things kuliko ys moyoni
Mkuu kama unazo si tutatumia PamojaTafuta hela.
We!! Nani kasema!Mkuu kama unazo si tutatumia Pamoja
Mkuu sasa leo mtalalaje humo ndani? Maana kila mtu kwenye pembe yake anaandika JF ndoa hizi balaa.Am not stupid as such! unless other wise U'r too!, above all you'r senseless too! cause u' forwarded your under bed naked jargons! if not U' would'nt have dared to behave like dat!! as a well buttered type of woman!
Wewe unaweza kuacha kuingilia mambo ya msingi kwa mtoto wako wa kiume? Utakuwa mzazi ao korokoro?Ila la msingi wazazi tuwaache watoto wetu waendeshe maisha yao wenyewe, tusiwaingilie, hii ni pande zote wazazi wa mwanamme na hasa wa binti ndio wanaaongoza kuwageuza wakwe zao ma donor.