Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,787
- 45,248
Inawezekana mkewe anapenda kwenda sokoni na mme wake hivyo anafanya makusudi.Sijui imani yako imeegemea upande upi,lakini fanya jitihada ya kumuokoa mwenzio kwa namna yoyote ile hata kwa maombi,..hiyo si hali ya kawaida mark my words,.