Kosea vyote lakini siyo mtu wa kuoa ama kuolewa naye

Huyo wa hivyo hivyo ampage tu pesa ya siku moja tu ndani muwepo vitu visivyo oza basi naye mzigo sasa, mbona watu wanaoana makabila tofauti na unajifunza vyakula mbalimbali jamani huyo naye mzigo tu hakuna jibu lingine
Au mwanaume awe ananunua mwenyewe, maana hapo ni matunda yuko hivo vipi ulezi wa watoto, maana mleta mada kasema mkewe kazi yake ni kuzaa tu hawezi hata kumshauri au kumpa faraja yeye yupo tu imagine huo.mzigo alio nao kwa mkewe
 
Yani hata kutofautisha matunda maana huwa hayana harufu. Mleta mada namhurumia vikero vya kijinga hufanya hata ndoa iwe chungu
Kwakweli pole yake, wakati mwingine ndoa inakuwa msalaba tena wachuma jamani, miaka 10
unaishi kama gerezani, sasa kina watoto atafanya nini mmm kazi kwakweli
 
Huyu mwanaume naye ni mvumilivu aisee, maana mkewe ana act ka mtu hajui kipi kizuri au kibaya. Mungu amsaidie tu huyu mama abadilike hapo hata ukisali ka hajaamua ni shida
 
Matatizo ya kuingia kwenye ndoa sababu tu umezaa nae au sababu umri umeenda ndo mambo kama haya kila kitu kerooo mana hamna upendo
Kwa case kama hii sidhani kama ni kukurupuka, ni ngumu kujua tabia kama hii kabla ya kuishi na mhusika.
 
Ndyo awe ananunua mwenyewe, wakati mwingine unapochagua unaangalia itakuwa alimuona mpole mpole hivi ndiyo safi
Au mwanaume awe ananunua mwenyewe, maana hapo ni matunda yuko hivo vipi ulezi wa watoto, maana mleta mada kasema mkewe kazi yake ni kuzaa tu hawezi hata kumshauri au kumpa faraja yeye yupo tu imagine huo.mzigo alio nao kwa mkewe
 
Huyu mwanaume naye ni mvumilivu aisee, maana mkewe ana act ka mtu hajui kipi kizuri au kibaya. Mungu amsaidie tu huyu mama abadilike hapo hata ukisali ka hajaamua ni shida
Amuombeage tu hakuna namna na kusema sijui kumuacha ni kutesa watoto anunue tu mwenyewe, kusali hiyo ni mtu mwenyewe na mwanamke asiye sali ni shida kubwa sana bora mwanaume
 
Hapo hata ukikesha maombi habadiliki ndo alivokuwa huwezi kumuombea huku yeye hataki kubadilika matunda yamshinda, hafikirii mbele wala kushauri maendeleo, yeye kuzaa tu, hapo ndo uelewa wake umefikia mwisho kumuombea ni kumchosha Mungu. You can't teach an old dog on how to bite never aisee
 
Angalau umeanza ku-imagine shida ninayoipata katika maisha. Jana nimekuta anakatakata nyanya. Kuangalia, nikakuta kwenye lundo la nyanya kaweka na zilizooza pia. Ikabiidi nizitoe, nizitupe kwenye ndoo ya taka. Na siyo kwamba hatuna uwezo wa kununua nyanya. Siyo matajiri lakini pia hatulali ama kushinda njaa.
Hapo ulipokuta nyanya zilizooza ukimwuliza anasemaje?Ukimhoji huwa anasema nn?
 
Hapo hata ukikesha maombi habadiliki ndo alivokuwa huwezi kumuombea huku yeye hataki kubadilika matunda yamshinda, hafikirii mbele wala kushauri maendeleo, yeye kuzaa tu, hapo ndo uelewa wake umefikia mwisho kumuombea ni kumchosha Mungu. You can't teach an old dog on how to bite never aisee
nacheka kama mazuri basi hapo ndiyo mwisho afundishe watoto au akipata dada wakazi anamwelekeza vizuri hakuna namna, hujawahi ona mwanamke mme hata afanye nini yeye hana wivu ili mradi yy apewe matunzo basi hata akalale huko wiki utasikia atajua mwenyewe, hapo tambua hakuna kitu humo
 
Ndio maana wataalam wanaanza kukaa nao gheto kwanza kusoma na kufanya upembuzi yakinifu. Wewe uliona toto lipo idle ukawaona wadau ni maboya kumbe wenzako wanakusikitikia tu. Ukimkuta mwanamke sio bikra na hajaolewa usikurupuke kuoa hata kama anatembea anamwaga asali, tulia vuta zigo gonga, vuta gheto kabidhi vyombo vichaafuuu akiosha vizuri pongeza then goongaaaa, vuta gheto kabidhi nyumba chafu akisafisha pakang'aa pongeza then goongaaa, vuta tena gheto siku nyingine kabidhi nguo za kazi, akifua vizuriii pongeza then goongaaaa, ita tena gheto siku nyingine kabidhi mazaga apike misosi ya kazi akipika vizuuuriii pongeza then goongaaaa.............................hapo unakua unapima utamu wa buyu pamoja na uimara katika maisha halisi....ongeza na vipimo vingine kadhaa (isiwe too much na OLE WAKO ULE MTANDAO PENDWA). Afaulu kwa wastani wa 95% OA, NASEMA HIVI OA HARAKA SANA.
 
Hivi kwanini nakutanayo sana hata mtaani kwangu japo silichukuli jambo serious sana
Ndiyo halli halisi ya maisha, ukimpata mchumba anae elekea mshikirie maana unaweza
kutana na zigo hilo ukajuta na kurudi huko huwezi
 
Ndio maana wataalam wanaanza kukaa nao gheto kwanza kusoma na kufanya upembuzi yakinifu. Wewe uliona toto lipo idle ukawaona wadau ni maboya kumbe wenzako wanakusikitikia tu. Ukimkuta mwanamke sio bikra na hajaolewa usikurupuke kuoa hata kama anatembea anamwaga asali, tulia vuta zigo gonga, vuta gheto kabidhi vyombo vichaafuuu akiosha vizuri pongeza then goongaaaa, vuta gheto kabidhi nyumba chafu akisafisha pakang'aa pongeza then goongaaa, vuta tena gheto siku nyingine kabidhi nguo za kazi, akifua vizuriii pongeza then goongaaaa, ita tena gheto siku nyingine kabidhi mazaga apike misosi ya kazi akipika vizuuuriii pongeza then goongaaaa.............................hapo unakua unapima utamu wa buyu pamoja na uimara katika maisha halisi....ongeza na vipimo vingine kadhaa (isiwe too much na OLE WAKO ULE MTANDAO PENDWA). Afaulu kwa wastani wa 95% OA, NASEMA HIVI OA HARAKA SANA.
Wakristo walio okoka hawafanyi hivyo sasa, na anaweza kuwa bikira kweli lakini akili yake ndiyo imeishia hapo utafanyaje, nikuomha Mungu akukutanishe na mtu sahihi basi
 
nacheka kama mazuri basi hapo ndiyo mwisho afundishe watoto au akipata dada wakazi anamwelekeza vizuri hakuna namna, hujawahi ona mwanamke mme hata afanye nini yeye hana wivu ili mradi yy apewe matunzo basi hata akalale huko wiki utasikia atajua mwenyewe, hapo tambua hakuna kitu humo
Mambo ya huyo mwanamke mwenzetu yanatia hasira sasa hata hao watoto sipati picha anawaleaje.

Huyo Dada wa kazi akimzidi hayo mambo si ndo mwanzo wakumpindua mke halali maana wadada wengine nuksi wamejaliwa sema umaskini.

Huyo asiyejali mumewe naye hamupendi yupo kimasilahi zaidi
 
Back
Top Bottom