Kosea kujenga sio kuoa

Kosea kujenga sio kuoa

Hivi ukioa halafu mke anakujazia ndugu zake alafu hao ndugu zake wanaanza kukununia alafu hawakuheshimu. Nahisi nako nikukosea kuoa na inabidi tuachane tuu.
 
Hivi kukosea kuoa ndio kukoje? Yaani unakuwa umeoa mtu usiyempenda au asiye na vigezo uvitakavyo au ......? Sielewi, naomba mnifafanulie hapa
Kukosea kuoa ni pale Ndoa inapokuwa Ndoano ni mawazo yangu huenda kuna wengine wanaelewa zaidi ya hapo.
 
Kwa waislamu wala hawaumizi kichwa wao ni taxi au gari la abiria hakutaki ataleta mwingine au akupe talaka aoe tena .
Ndio hivyo.
Anauwezo wakujaza wote walale kitanda kimoja hatojali.
Ili hali anapunguza stress.
 
Hivi kukosea kuoa ndio kukoje? Yaani unakuwa umeoa mtu usiyempenda au asiye na vigezo uvitakavyo au ......? Sielewi, naomba mnifafanulie hapa
Kama kileo na Joyce kiria vile
 
Yani unaoa mwanamke ambae mmekutana nae kwa mwezi mmoja tu, hujachunguza na kujua tabia yake .
Mwanzoni huwa wanawake wanaficha makucha lakini akishaingia ndani sasa movie la kikorea linaanza.

Mara amchunie mdogo wako unaekaa nae, utakuta Kuna siku anakununia bila sababu, wakija wanandugu yeye yupo zake chumbani ndugu zako anawatelekeza sebuleni.

Akitaka kitu usipomtimizia kwa wakati ananua na kukunyima papuchi, gubu kila siku Mara ukirudi siku hajapika na pesa umemuachia.

Mkuu hayo ni machache sana ila yapo mengi.
Ukijikuta umeingia chaka unashindwa nini kumwacha huyo mwanamke na kuendelea na maisha mengine?

Mwanaume ni chanzo cha mabadiliko, ni kichwa cha nyumba ana mamlaka ya kumbadilisha mkewe kwa kiasi kikubwa. Akishindwa kumbadilisha basi amvumilie, ikishindikana kabisa amwache.
 
Kujenga nyumba kunagharimu zaid ya shilingi milion 40 -50 nyumba ambayo standard. Kuoa huwezi maliza hata milion 2 usiombee kukosea kujenga kaka utalia kilio cha kusaga meno ukikosea kuoa utaacha utaoa tena kwa gharama nafuu sana
Kweli kabisa!
Sioni kisa cha kufa na tai shingoni kisa tu kuacha ni gharama. Gharama ipi hiyo? Mahari/ mazoea/ jamii au nini?
 
Ukikosea kuoa ujue una matatizo makubwa kuliko mwanaume yeyote unayemuona anamatatizo.
 
Kwa waislamu wala hawaumizi kichwa wao ni taxi au gari la abiria hakutaki ataleta mwingine au akupe talaka aoe tena .
Ndio hivyo.
Anauwezo wakujaza wote walale kitanda kimoja hatojali.
Ili hali anapunguza stress.
Eleza kwa data sio unaropoka tu!uliona wapi au kuskia mke zaidi ya 1 wanalala kitanda kimoja?
 
Back
Top Bottom