Kosea kujenga sio kuoa

Kosea kujenga sio kuoa

Joined
Sep 26, 2016
Posts
9
Reaction score
14
Kwanini tunasema kosea kujenga sio kuoa tuna maana moja tu sisi waungwana maana ukikokosea kujenga unaweza kubomoa na haitakuchukua muda mrefu kujenga tena lakini ukikosea kuoa itakuchua muda mrefu kuoa tena katika maisha na ndio maana kuna watu wakishaachana na mwanamke itamlazimu kutokuoa kwa haraka badala yake inamchukua muda kuoa tena
 
Kwann tunasema kosea kujenga sio kuoa tuna maana moja tu sisi waungwana maana ukikokosea kujenga unaweza kubomoa na aitakuchukua muda murefu kujenga tena lkn ukikosea kuoa itakuchua muda mrefu kuoa tuna katika maisha na ndio maana kuna watu wakisha achana na mwanamke itamlazimu kutokuoa kwa halaka badala yake inamchukua muda kuoa tena
 
Ndio maana na umri wangu huu bado sijaoa, nachofanya ni kuzalisha tu baadaye nitawakusanya wanangu chini ya mbawa zangu wakae kwa umoja na amani bila ya kuwa na Mke rasmi.
 
Ndio maana na umri wangu huu bado sijaoa, nachofanya ni kuzalisha tu baadaye nitawakusanya wanangu chini ya mbawa zangu wakae kwa umoja na amani bila ya kuwa na Mke rasmi.
Zarisha uhudumie vinginevyo Bashite atakuhusu
 
Hivi kukosea kuoa ndio kukoje? Yaani unakuwa umeoa mtu usiyempenda au asiye na vigezo uvitakavyo au ......? Sielewi, naomba mnifafanulie hapa
 
Ukikosea kuoa mkuu, ukiacha unaoa tena mwingine bandika bandua mpaka umpate aliye sahihi.

Na mwanamke pia akikosea wa kuolewa nae nae aombe taraka akaolewe tena na mwingine.
 
Kujenga nyumba kunagharimu zaid ya shilingi milion 40 -50 nyumba ambayo standard. Kuoa huwezi maliza hata milion 2 usiombee kukosea kujenga kaka utalia kilio cha kusaga meno ukikosea kuoa utaacha utaoa tena kwa gharama nafuu sana
 
Hivi kukosea kuoa ndio kukoje? Yaani unakuwa umeoa mtu usiyempenda au asiye na vigezo uvitakavyo au ......? Sielewi, naomba mnifafanulie hapa
Yani unaoa mwanamke ambae mmekutana nae kwa mwezi mmoja tu, hujachunguza na kujua tabia yake .
Mwanzoni huwa wanawake wanaficha makucha lakini akishaingia ndani sasa movie la kikorea linaanza.

Mara amchunie mdogo wako unaekaa nae, utakuta Kuna siku anakununia bila sababu, wakija wanandugu yeye yupo zake chumbani ndugu zako anawatelekeza sebuleni.

Akitaka kitu usipomtimizia kwa wakati ananua na kukunyima papuchi, gubu kila siku Mara ukirudi siku hajapika na pesa umemuachia.

Mkuu hayo ni machache sana ila yapo mengi.
 
Ndio maana na umri wangu huu bado sijaoa, nachofanya ni kuzalisha tu baadaye nitawakusanya wanangu chini ya mbawa zangu wakae kwa umoja na amani bila ya kuwa na Mke rasmi.
Hamna alieenda kuripoti ofisi ya mkuu wa mkoa?
 
Ukikosea kuoa matokeo yake mnapelekana kwa Makonda...
 
Back
Top Bottom