rodgers123
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 179
- 152
Wakuu habari.
Nimewaza na kuona kuwa kosa atakalo fanya kwanza CDF na wakuu wengine wa jeshi la wananchi
ni kutotumia nafasi hii kuwakomboa watanzania kutoka kwenye uongozi usiofata sheria na wenye
wizi wa kura nk.
Kwani tujikumbushe jinsi Mkuu wetu MABEYO alivyosimama kuhakikisha Samia anakuwa
rais kwa kufata katiba. Lakini muda tuu baada ya Samia kuwa raisi Mabeyo alitolewa nje kwa kuambiwa
sijui akastaafu na wakuu wengi wa vyombo juu wakapigwa nje.
Cha kushangaza mama huyuhuyu akiwa majukwaani anaikashifu katiba kuwa haka kakitabu tuu.
Ingekuwa watu kuheshimu kitabu wangeheshimu vitabu vya mwenyezi mungu. Na kagoma kutupa
katiba mpya na uongozi wake umekuwa wa kumwaga damu.
Mfano Mwingine ni Chongolo yule Katibu wa CCM. Baada ya kutumika kusimamia upitishaji wa Jina
lake , muda haujapita akapigwa nje. Hawakutaka aendeleee.. Na kutumika katumika kupoka haki za
uchaguzi ngazi ya chini.
Leo ni zamu yako wewe kiongozi wa Jeshi la Wananchi na Makamanda wakuu wengine wa jeshi.
Mkisimamia huu uchagizi ambao wananchi wanajua hakuna kura zimepigwa sehemu nyingi na
kusema Samia ndio raisi. Nawahakikishie baada ya kuapishwa tuu mtapigwa nje wote. Na kuwa
watu wa kawaida au kupewa kazi kama za kina IGP Siro na wengine.
Na hapo mama ataweka watu wake toka pande ya pili na uonevu utaanza upya Tanzania.
Sasa basi nini cha kufanya wakuu wa Majeshi na Vikosi.
1) Wapeni ulinzi wananchi wanaoandamana na waondoeni hao Waganda wanaoua watu kama
tunavyosikia.
2)Chukueni nchi maana hakukuwa na uchaguzi.
Kama gari za CCM zenyewe zinaonekana na masanduku ya Kura. Toka lini mshindani akabeba
ma box ya kula kama sio kura feki.
3)Zuieni utangazaji wa matokeo bandia maana yanazidi kuleta hasira kwa wananchi na kuona
watawala wanazidi kuonyesha dharau kwao. Maana wamekuwa wakisema na kupotea.
4)Chukueni nchi kwa Muda na kusimamia mchakato mzima wa Katiba na uchaguzi wa huru.
5)Fungeni mipaka yote watu wasitoke nje maana wale wezi wa mali za umma watakimbia
na mali za watanzania kama pesa na kadharika.
6)Hata kama CDF mwenyewe uko upande wao, Wakuu chini ya Jeshi mnayo nafasi hiyo ya
kuchukua na kusimamia nchi kwa muda wa mpito kama Kaptain Traore.
7)Mkichukua nchi waachieni watu wato waliokamatwa au kutekwa kama wapo hai.
Hii kwa Mkunda na wana CCM wengine. Mkijiona mko nao sasa hivi jueni kuna kesho kama yaliyomkuta
Balozi Polepole. Sasa hivi hamna mwana CCM anampigania ila wananchi ndio wanampigania.
Sasa kumbukeni Wananchi ndio wa kuwapigania na sio Samia na watu wake.
Nawaambia muda si mrefu baada ya kusimamia kwa nguvu uchaguzi wa kiini macho huu.
Mtapigwa nje au kupewa kazi zingine tofauti na professional zenu.
Hivyo simameni na Wananchi na mtimize mambo saba tajwa hapo juu.
Mwenyenzi Mungu atakuwa na nyinyi siku zote. Amen.
Msiipoteze hii nafasi..!
Golden Chance always comes once in Life!!!