Kosa Sura Pata Zegembe

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Wadau wenzangu habarini za jioni .
"Kosa sura pata zegembe"
Awali ya yote naomba jamvi linielewe kua hayo maneno (headin') yaliobeba Sredi hii si maneno yangu.
Maneno hayo nimeyasikia au kuyapata kutoka katika moja ya vipindi vya Radio clouds,
kwakua sisi wengi wetu tunaishi mijini , na neno mojawapo kati ya hayo halipo kisarufi ama katika lugha sanifu .
Neno (Zegembe) ni neno la kimjini na wengi wetu litamkwapo au liandikwapo tunalifahamu linamaanisha nini . Niachane na hapo nije kwenye topic , ni kwamba baada ya mie kuyasikia maneno hayo yakanikolea kichwani.
Kwamba ni kweli walengwa wanaoelekezewa maneno haya kua ni "Bora ukose sura upate masaburi makubwa".
Nikajiuliza wenyewe wakilisikia hili watalipokea kama lilivyo kua ni liko sawa ?
Nawasilisha .
 
*face* is the best we uwe na sura nzito kama zege uone kama mtu atajipendekeza mweee
 
Mpododo aka mabwepande ni nomaaaaaa!!!! Hata ukiwa na sura mbaya ukiipiga scrub plus mapoooda then mpododo utakubeba na utakula vichwa kinomaaaaaa!!
 
Mwanamke sura, saburi hata kwa mchina zipo.

Hapa kwa SL kuna naona kama kuna vielementi vya trusi ! Lakini nadhani nikiunganisha mchango wako na wa Nitonye , ndiyo nitapata kitu ya ujumla !
Na nyie si mngekua mnashirikiana hata ktk kuchangia ?
Mnashirikiana kwenye naniliu bass .
 
tulioanguka bafuni mbona tutajibeba....na sura ndo kama tunakamuliwa jipu....uwiiii.....
 
tulioanguka bafuni mbona tutajibeba....na sura ndo kama tunakamuliwa jipu....uwiiii.....

Preta,
Wengi wanaochangia kwa style yako, mara nyingi mambo hua ni kinyume chake! Akisema nyeupe , basi hua nyeusi ! Chungu hua tamu ! Sura mbaya hua ....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom