ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,749
- 42,228
- Thread starter
-
- #101
Shukran ππHakuna mwenye X-ray machine ya kuumulika au kuuchunguza moyo(Nia) ya mtu. Kuna mambo tukubali tu kwamba yapo juu ya Uwezo wetu wa kibinadamu. Ndio maana tunashauri kufanya hivi π
MITHALI 3
5 Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;
6 Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako.
Kujimwambafy kwenye mambo yaliyo juu ya Uwezo kutazidi kuwakaanga wengi
Sawa mkuuKuna tofauti kati ya Mke/Mume wa kupewa na Mungu na Mke/Mume wa kujitafutia mwenyewe
MITHALI 3
5 Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;
6 Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako.
Tell us about it! πMy second year chuo nili date bank teller ndipo nilipojua wanawake ni watoto waliochangamkaπ
Stay Vigilant βοΈπLife is not fair.... Na ukweli mchungu ni kwamba "Life wasn't supposed to be fair in the first place"
Stay VIGILANT
Nilienda ku badilisha bank accountπTell us about it! π
eeh unaonekana una utu na utulivu πNilienda ku badilisha bank accountπ
na angekutana na play boy angelia sana
mengine acha yabaki yangu na yake untill further notice π
sawa brokm bro mleta post alivyosema
Wanawake wengine tunapenda vibaya msituumize gaizzzzmwanamke akikupenda,she will even kill to have you
Sikuzingatia I'd sorry young girleeh unaonekana una utu na utulivu π
sawa bro
Cc : binti kiziwi π
Wanawake wengine tunapenda vibaya msituumize gaizzzz
hapa ndiyo unaharibu sasa mimi bro πSikuzingatia I'd sorry young girl
eeh uliempenda zaidi yake I wonder π€£π€£π€£but it didn't last long alinifumania na niliyempenda zaidi yake
hii ndiyo tuuite karma au pole mkuuπimagine niliyempenda zaidi yake naye tuliachana π
Ulipata mtoto na huyo bank teller au?but we ended up having a daughter
Ndiyo mkuu