Kosa moja, kwanini CHADEMA wakamatwe CCM wasiguswe?

Mwangaza

Senior Member
Feb 26, 2008
198
64
Nukuu kutoka gazeti la mwananchi Nov 9,2011;

..," Kamanda Mpwapwa (OCD-Arusha) alishindwa kueleza sababu za jeshi hilo kushindwa kuwachukulia hatua vijana wa CCM, walioandamana na kufanya mkutano wa hadhara bila kibali licha ya jeshi hilo kuyapiga marufuku.
“Pamoja na matukio haya kufanana na eneo la tukio kuwa sawa, lakini polisi tunashughulikia kila shauri kulingana na mazingira yake. Kisheria mtu huwezi kutenda kosa kwa sababu mwingine naye ametenda kosa kama lako,” alisema Mpwapwa baada ya waandishi kuhoji kwa nini Chadema wamekamatwa kwa kosa linalofanana na lililotendwa na vijana wa CCM ambao hawakuguswa?.."

SOMA ZAIDI: Dk Slaa, Lissu mbaroni.

Hii inanishangaza na inaniuma sana..nchi hii demokrasia ilishakufa , hakuna amani, hakuna haki !! ..wala sheria!! kila kitu ni kuilinda "nyinyiemu" tu.!! F@&#*#&#K !!!

Angrrrrrrr!!!! IPO SIKU TUTALIANZISHA NA HAKUNA MAMLAKA, DOLA WALA JESHI LITAKOLOWEZA KUTUZUIA.. TUMECHOKA SASA!!! shit!!
 
jibu liko wazi polisi wanatumikia chama na sii wananchi
watabakia na suruaali zimetoboka lkn kwa vile wanakula rushwa kwao haki sio kitu
hata kuuwa watauwa ili mradi kwa siku watalipwa sh 10,000 za allowance.wengi wao ni form 4 failure unategemea atakuwa na upeo
wa kuwaza hatma yake na kizazi chake?
 
Mimi siwapendi hawa polisi. Halafu kuna raia wame wapangisha nyumba. Watimueni wakalale kwenye ofisi za ccm kwa kuwa ndio mabwana zao. Halafu wana tabia ya kuomba omba lifti. Siwapi kuanzia leo.jinga sana hawa.
 
Nukuu kutoka gazeti la mwananchi Nov 9,2011;

..," Kamanda Mpwapwa (OCD-Arusha) alishindwa kueleza sababu za jeshi hilo kushindwa kuwachukulia hatua vijana wa CCM, walioandamana na kufanya mkutano wa hadhara bila kibali licha ya jeshi hilo kuyapiga marufuku.
“Pamoja na matukio haya kufanana na eneo la tukio kuwa sawa, lakini polisi tunashughulikia kila shauri kulingana na mazingira yake. Kisheria mtu huwezi kutenda kosa kwa sababu mwingine naye ametenda kosa kama lako,” alisema Mpwapwa baada ya waandishi kuhoji kwa nini Chadema wamekamatwa kwa kosa linalofanana na lililotendwa na vijana wa CCM ambao hawakuguswa?.."

SOMA ZAIDI: Dk Slaa, Lissu mbaroni.

Hii inanishangaza na inaniuma sana..nchi hii demokrasia ilishakufa , hakuna amani, hakuna haki !! ..wala sheria!! kila kitu ni kuilinda "nyinyiemu" tu.!! F@&#*#&#K !!!

Angrrrrrrr!!!! IPO SIKU TUTALIANZISHA NA HAKUNA MAMLAKA, DOLA WALA JESHI LITAKOLOWEZA KUTUZUIA.. TUMECHOKA SASA!!! shit!!
you are a great thinker ni mambo mengi ya kitoto wanajifanyisha lakini mwisho wao upo karibu f¥¤¥ ccm na wanaoisaidia kuiba lasilimal za watz
 
Back
Top Bottom