howardlite
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 248
- 413
Mh*Jihadharini na wachapaji wa kadi za harusi. Hakikisha unasoma maandishi yaliyochapwa kabla ya kadi kuchapwa na kusambazwa!
Mchapaji aliombwa aweke 1Yohana 4:18 ktk kadi ya harusi lakini mchapaji kwa makosa aliweka Yohana 4:18.
1 Yohana 4:18 panasema, "Katika pendo hakuna hofu, lakini pendo lililo kamili huitupa nje hofu..."
Lakini Yohana 4:18 tunasoma, "Kwa maana umekuwa na waume watano , naye uliye naye sasa siye mume wako."
MKE AKAZIMIA