MERCIFUL
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 2,786
- 3,130
Mkuu umeona eeh! Kwa Wakristo nafahamu kuna amri inasema usizini...simply usizini!! Haijasema wanawake tu ndio wasizini. Dhambi ni dhambi / Kosa ni Kosa. Kuhalalisha eti dhambi hii ni kubwa iwapo jinsia moja tu ndio itahusika ni kujidanganya.Kuna tifu litatokea hapa