kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,099
- Thread starter
- #241
Sina cha kuficha mkuu, hakuna anaenijua humu jukwaaniApia mkuu ili kunijenga imani.

Una bikra?Siku moja baada ya kutoka kibaruani, kuna mtu aliniita Bar ya hapo jirani na ofisini kwetu nikaenda hapo tukawa tumekaa nikaagiza chakula nikawa nakula, kuna ndugu yangu akaniambia anakuja kwahiyo nikamwambia apitie hapo kama vipi tuondoke wote, sasa mimi nikawa napiga stori na huyo mbaba.
Nikamaliza kula akaniambia niagize kinywaji nikamwambia sijisikii kunywa pombe kwani huwa zinanisumbua naamka kichwa kizito akaniagizia sijui ni Whisky ile inaitwa Black and White sasa mambo hayo mimi sijazoea nilichanganya na soda nikashindwa kuinywa naiona kali ikabidi niagize tu juisi ya matunda.
Sasa yule ndugu yangu akaja ni wakike so tukawa tupo watatu hapo kwenye meza yetu mimi yule mbaba na huyo ndugu yangu, sasa kuna mbaba mwingine alikuwa yupo kwenye process za kunitongoza nilishamwambiaga huyu ndugu yangu alikuwa anamjua, sasa ndugu yangu alivyofika pale akawa ameniambia mbona fulani nimemuona hapo nyuma yetu na yupo na mdada eeeh! Nikashtuka ikabidi nigeuke kuangalia kweli.
Amekaa na msichana mrembo mweupe, nikatoka nikaenda chooni yule mbaba aliyekuwa amekaa na msichana hapo nyuma akanifata eti umekuja kufanyaje mbona hujaniambia kama unakuja na yule umekaa nae nani, heeeh yaani yeye kajisahau kama yupo na mwanamke mwingine pale, nikamwambia meseji zangu huwa hujibu ndiyo maana sijakwambia na yule ni rafiki yetu tunafahamiana naye. Nikamuuliza na yeye yule aliye naye pale ni nani akajifanya hamjui yupo mwenyewe ila wanaume 😁😁🙌
Mimi nikarudi zangu kukaa nilipokaa mwanzo, huyu mbaba akaja pale akajifanya anasalimia akawa kaingiwa na wasiwasi hadi unamuona kabisa akarudi kwenye meza yake akawa hamsogelei kabisa yule msichana sasa sijui alienda wapi huyo msichana akawa anaongea na wahudumu hadi wanacheka wanagonga na mikono mara akarudi akamuitia usafiri yule mdada akaondoka na yeye akaenda nje kuongea na simu, na mimi na ndugu yangu tukaondoka.
Nilichoshukuru Mungu ni kwamba nimemjua mapema kabla sijampa kwahiyo hakuambulia kitu kabisa.
Ikumbukwe yule mbaba ambaye nilikaa nae mwanzo hakuwa mtu wangu alikuwa ananiitaga tu akiwa anataka kampani na unaweza kukaa nae hata akitokea mtu akaja hapo hawezi kujua kama mpo pamoja nilipata taarifa zake baadae kuwa ni mtu wa mademu sana ndiyo maana anafanya hivyo.
Hahahaha,unahisi hazimtoshi?Hivi we kichwani upo sawa kweli?
Hahahaha,duhWe unaonekana huko mtaani kwenu wahuni wanakutomber sana aisee.
NDIO MAANA YULE JAMAA ALIPOLEWA AKATOKA NJE KWENDA KUJISAIDIA YUPO UCHI UMEME ULIKUWA UMEKATIKA ILE ANAMALIZA KUJISAIDIA UMEME UKARUDI GHAFLA ,,,,,,,, KESHO YAKE ASUBUHI WATU WAKASEMA WAMEMUONA MCHAWI TEH TEHSiku moja baada ya kutoka kibaruani, kuna mtu aliniita Bar ya hapo jirani na ofisini kwetu nikaenda hapo tukawa tumekaa nikaagiza chakula nikawa nakula, kuna ndugu yangu akaniambia anakuja kwahiyo nikamwambia apitie hapo kama vipi tuondoke wote, sasa mimi nikawa napiga stori na huyo mbaba.
Nikamaliza kula akaniambia niagize kinywaji nikamwambia sijisikii kunywa pombe kwani huwa zinanisumbua naamka kichwa kizito akaniagizia sijui ni Whisky ile inaitwa Black and White sasa mambo hayo mimi sijazoea nilichanganya na soda nikashindwa kuinywa naiona kali ikabidi niagize tu juisi ya matunda.
Sasa yule ndugu yangu akaja ni wakike so tukawa tupo watatu hapo kwenye meza yetu mimi yule mbaba na huyo ndugu yangu, sasa kuna mbaba mwingine alikuwa yupo kwenye process za kunitongoza nilishamwambiaga huyu ndugu yangu alikuwa anamjua, sasa ndugu yangu alivyofika pale akawa ameniambia mbona fulani nimemuona hapo nyuma yetu na yupo na mdada eeeh! Nikashtuka ikabidi nigeuke kuangalia kweli.
Amekaa na msichana mrembo mweupe, nikatoka nikaenda chooni yule mbaba aliyekuwa amekaa na msichana hapo nyuma akanifata eti umekuja kufanyaje mbona hujaniambia kama unakuja na yule umekaa nae nani, heeeh yaani yeye kajisahau kama yupo na mwanamke mwingine pale, nikamwambia meseji zangu huwa hujibu ndiyo maana sijakwambia na yule ni rafiki yetu tunafahamiana naye. Nikamuuliza na yeye yule aliye naye pale ni nani akajifanya hamjui yupo mwenyewe ila wanaume 😁😁🙌
Mimi nikarudi zangu kukaa nilipokaa mwanzo, huyu mbaba akaja pale akajifanya anasalimia akawa kaingiwa na wasiwasi hadi unamuona kabisa akarudi kwenye meza yake akawa hamsogelei kabisa yule msichana sasa sijui alienda wapi huyo msichana akawa anaongea na wahudumu hadi wanacheka wanagonga na mikono mara akarudi akamuitia usafiri yule mdada akaondoka na yeye akaenda nje kuongea na simu, na mimi na ndugu yangu tukaondoka.
Nilichoshukuru Mungu ni kwamba nimemjua mapema kabla sijampa kwahiyo hakuambulia kitu kabisa.
Ikumbukwe yule mbaba ambaye nilikaa nae mwanzo hakuwa mtu wangu alikuwa ananiitaga tu akiwa anataka kampani na unaweza kukaa nae hata akitokea mtu akaja hapo hawezi kujua kama mpo pamoja nilipata taarifa zake baadae kuwa ni mtu wa mademu sana ndiyo maana anafanya hivyo.
Zako zipo juu kuliko woteKila binadamu ana nyege mkuu, ukiona hauna nyege ujue hauko sawa
Uliziona wapi?Zako zipo juu kuliko wote
Nilidhani nimeona hivyo peke yangu!Unaonekana ni binti mwenye nyege na hutumii akili zako vizuri that's why unakuwa manipulated ivyo
SANTEEE!We unaonekana huko mtaani kwenu wahuni wanakutomber sana aisee.
hata humu watakupiga mbupu mpk usahau jina lako!Sina cha kuficha mkuu, hakuna anaenijua humu jukwaani
😁😁😁labda ndotonihata humu watakupiga mbupu mpk usahau jina lako!
Asante kwa taarifaSijui kwanini nimekuona unat*****eka kirahisi sana.
Sijui yani ulichoandika nimekuona ni mtu huna msimamo na maisha yako, wewe ni people pleaser, nimeona tu ni wale mabinti wanajikuta tu wameshavuliwa chupi, na kesho wanaenda tena na bado hawajui tu walienda kufanya nini!
Kwanini ni rahisi sana kuwa manipulated?
Hunywi pombe mara kwa mara , unakubalije mtu akuambie tu kunywa whisky?
Na unakubali?
Mtu anakutongoza, akiwa na mtu mwingine mahali kimekushtua nn?
Mpk unamwambia uliona hajibu text zako ndo mana ukatoka na mtu mwingine!
AISEEEH!
Kuna namna tu nimekuona ambayo, ni ya kimalaya wa kimya kimya sana
And am not saying sorry!
Inahusiana niniNDIO MAANA YULE JAMAA ALIPOLEWA AKATOKA NJE KWENDA KUJISAIDIA YUPO UCHI UMEME ULIKUWA UMEKATIKA ILE ANAMALIZA KUJISAIDIA UMEME UKARUDI GHAFLA ,,,,,,,, KESHO YAKE ASUBUHI WATU WAKASEMA WAMEMUONA MCHAWI TEH TEH
Hayo maneno niliyo bold hapo jamaa nikweli alikuwa hamjui kabisa Tena nahisi hakuwepo hapo ila niwenge lako tu😹😹Siku moja baada ya kutoka kibaruani, kuna mtu aliniita Bar ya hapo jirani na ofisini kwetu nikaenda hapo tukawa tumekaa nikaagiza chakula nikawa nakula, kuna ndugu yangu akaniambia anakuja kwahiyo nikamwambia apitie hapo kama vipi tuondoke wote, sasa mimi nikawa napiga stori na huyo mbaba.
Nikamaliza kula akaniambia niagize kinywaji nikamwambia sijisikii kunywa pombe kwani huwa zinanisumbua naamka kichwa kizito akaniagizia sijui ni Whisky ile inaitwa Black and White sasa mambo hayo mimi sijazoea nilichanganya na soda nikashindwa kuinywa naiona kali ikabidi niagize tu juisi ya matunda.
Sasa yule ndugu yangu akaja ni wakike so tukawa tupo watatu hapo kwenye meza yetu mimi yule mbaba na huyo ndugu yangu, sasa kuna mbaba mwingine alikuwa yupo kwenye process za kunitongoza nilishamwambiaga huyu ndugu yangu alikuwa anamjua, sasa ndugu yangu alivyofika pale akawa ameniambia mbona fulani nimemuona hapo nyuma yetu na yupo na mdada eeeh! Nikashtuka ikabidi nigeuke kuangalia kweli.
Amekaa na msichana mrembo mweupe, nikatoka nikaenda chooni yule mbaba aliyekuwa amekaa na msichana hapo nyuma akanifata eti umekuja kufanyaje mbona hujaniambia kama unakuja na yule umekaa nae nani, heeeh yaani yeye kajisahau kama yupo na mwanamke mwingine pale, nikamwambia meseji zangu huwa hujibu ndiyo maana sijakwambia na yule ni rafiki yetu tunafahamiana naye. Nikamuuliza na yeye yule aliye naye pale ni nani akajifanya hamjui yupo mwenyewe ila wanaume 😁😁🙌
Mimi nikarudi zangu kukaa nilipokaa mwanzo, huyu mbaba akaja pale akajifanya anasalimia akawa kaingiwa na wasiwasi hadi unamuona kabisa akarudi kwenye meza yake akawa hamsogelei kabisa yule msichana sasa sijui alienda wapi huyo msichana akawa anaongea na wahudumu hadi wanacheka wanagonga na mikono mara akarudi akamuitia usafiri yule mdada akaondoka na yeye akaenda nje kuongea na simu, na mimi na ndugu yangu tukaondoka.
Nilichoshukuru Mungu ni kwamba nimemjua mapema kabla sijampa kwahiyo hakuambulia kitu kabisa.
Ikumbukwe yule mbaba ambaye nilikaa nae mwanzo hakuwa mtu wangu alikuwa ananiitaga tu akiwa anataka kampani na unaweza kukaa nae hata akitokea mtu akaja hapo hawezi kujua kama mpo pamoja nilipata taarifa zake baadae kuwa ni mtu wa mademu sana ndiyo maana anafanya hivyo.
Wakati walikuwa wanaongea hadi ana mkiss na kamnunulia na savanna kabisaHayo maneno niliyo bold hapo jamaa nikweli alikuwa hamjui kabisa Tena nahisi hakuwepo hapo ila niwenge lako tu😹😹