Chotti de Alba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 348
- 106
Rafiki yangu alinisimulia kisa chake. Nika share nanyi jf ilikua Inasikitisha sana. Kwa sasa ameolewa na ana watoto watatu.
There is this guy i once called a boyfriend..yaani it was hectic coz i tried to be that good girlfriend kumuheshimu and all that ila at the end ni vituko! Mi nkaona isiwe tabu tho at first nlijitahidi nivumilie but sitasahau siku yule kiumbe anaongea na mwanamke wake in my presence nikasema hata kama ni kutulia hapa nimechemka mwenyewe jamani si kuvunjiana heshima huku!tena anamwambia ni jinsi gani alivo na nyege. Uwiii mwanamke nikajikaza mie ila habari ndo ikaishia hapo sijataka mawasiliano ya aina yoyote ila rafiki zangu wanashauri haikuwa vyema kumuacha bila kumwambia kosa ndo najiuliza hivi kweli katika upuuzi kama huo mtu mzima na ndevu zake asijue kosa lake?
kumbe mlishaachana toka zamani ....Yaani ni vituko maana nlishawahi kumuuliza kuhusu mahusiano yake ya nyuma akanidanganya sana na kuona nimeanza kumuhisi akawa ananipeti sana ila nlikuwa natafuta sababu ya kuondoka kistaarabu tu maana nlishaona napoteza muda tu. Hiyo siku anaongea na simu alijua sielewi kinachoendelea.ila na mm nikome kuwa mpole
kama kuachwa ndo kwa mapenzi yale basi wanaume nawapa mia kwa kuyajua maigizoYaani hapo uliachwagwa kitambo kirefu,akaona kama hauelewi yani umemganda kama ruba akaona atamke aliyotamka...hapo ujitoe tu mpnz fanya yako mama
Af hiyo party ya chini ya kudanganywa mahusiano ya nyuma usiwage unauliza maana unatafutwa kudanganywa na kutafutia watu sababu
asante jamani babu..mjukuu wako nimejifunza mengi.kumbe kumuonyesha mwanaume unamthamini anakupanda hadi kwenye ncha ya nwelePole kwa yaliyokupata mjukuu wangu. umekutana na vidaka wa hamu wasio na haya. Nashukuru tu kuwa imetokea mara moja na usikubali tena moyo wako kuyumbishwa na mapenzi uchwara.
labda ndo yeyeUmeandka kama wema hivi!
Asanteni kwa ushauri na comments ila kwa amani nliyonayo sasa cjutii maamuzi yangu ya kutokujitoa mzima mzma..av moved on n thts enough
Yaani ni vituko maana nlishawahi kumuuliza kuhusu mahusiano yake ya nyuma akanidanganya sana na kuona nimeanza kumuhisi akawa ananipeti sana ila nlikuwa natafuta sababu ya kuondoka kistaarabu tu maana nlishaona napoteza muda tu. Hiyo siku anaongea na simu alijua sielewi kinachoendelea.ila na mm nikome kuwa mpole
The only thing i find interesting in a man is his walletThere is this guy i once called a boyfriend..yaani it was hectic coz i tried to be that good girlfriend kumuheshimu and all that ila at the end ni vituko! Mi nkaona isiwe tabu tho at first nlijitahidi nivumilie but sitasahau siku yule kiumbe anaongea na mwanamke wake in my presence nikasema hata kama ni kutulia hapa nimechemka mwenyewe jamani si kuvunjiana heshima huku!tena anamwambia ni jinsi gani alivo na nyege. Uwiii mwanamke nikajikaza mie ila habari ndo ikaishia hapo sijataka mawasiliano ya aina yoyote ila rafiki zangu wanashauri haikuwa vyema kumuacha bila kumwambia kosa ndo najiuliza hivi kweli katika upuuzi kama huo mtu mzima na ndevu zake asijue kosa lake?
Umeshapata mbadala? mi ni babu mtuliza majeraha ya wajukuu zangu. Hebu twende PM tukaongee mawili matatu.
The only thing i find interesting in a man is his wallet
Akili za mbayuwayu nazoo..! sasa fanya hivi mkuu we mrudie halafu siku akirudia kukuvunjia heshima ndo umweleze afu tambaa zako hapo utakuwa umeridhika naaminiThere is this guy i once called a boyfriend..yaani it was hectic coz i tried to be that good girlfriend kumuheshimu and all that ila at the end ni vituko! Mi nkaona isiwe tabu tho at first nlijitahidi nivumilie but sitasahau siku yule kiumbe anaongea na mwanamke wake in my presence nikasema hata kama ni kutulia hapa nimechemka mwenyewe jamani si kuvunjiana heshima huku!tena anamwambia ni jinsi gani alivo na nyege. Uwiii mwanamke nikajikaza mie ila habari ndo ikaishia hapo sijataka mawasiliano ya aina yoyote ila rafiki zangu wanashauri haikuwa vyema kumuacha bila kumwambia kosa ndo najiuliza hivi kweli katika upuuzi kama huo mtu mzima na ndevu zake asijue kosa lake?