msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,886
Kwahiyo mmeshakulana...???
ninavyokwambia ni mwaka wa pili huu sasa nakula vitu,mama yake aliniita akaniambia ahsante kwa kurejesha furaha ya mwanangu.Kwahiyo mmeshakulana...???
Una fix sana we jamaaa😂😂😂chaaaaninavyokwambia ni mwaka wa pili huu sasa nakula vitu,mama yake aliniita akaniambia ahsante kwa kurejesha furaha ya mwanangu.
Hawezi kuwa na mke huyuu....Ungemuuliza ye binafsi ana mke.
Kisha ungemuuliza tena hilo swali.
sikutanii isee,mtoto ni mkali balaa,sikufichiUna fix sana we jamaaa😂😂😂chaaaa
Wacha bwanaa...sikutanii isee,mtoto ni mkali balaa,sikufichi
zoom vizuri utona kosa lako shwainmimi nikaona sio mbaya ngoja niendelee ninavyokwambia ni mwaka wa pili sasa nakula vitu
jamaa halitaki kutoa talaka,amenidhibitishia mdogo wake na yeye mwenyewe kwamba wanalala vyumba tofauti,jamaa ashaenda hadi ukweni kuomba suluhu dem kakataa, kumbuka saivi demu ana pesa chafu na jamaa ni kapuku anajifungia ndani tuKama rahisi muambie aombe talaka umuoe, jinga kabisa wewe eti amemfuta mumewe hivi unatujua wanawake tukifuta mwanaume kimapenzi?hao wasingeiishi nyumba moja.
Kwa ufupi anampikia mumewe, anamfulia, na kitandani kama kawa subiri uambie ana mimba ulee kumbe ya mwanaume mwenzio
Bonny na mi naomba mtaji[emoji134][emoji85]Hongera kwa kutoa Mtaji and after sale service, Huna Kosa Mkuu kwan kuna mtu kasema una Makosa?
Ha aha ha ha Sawa ila vigezo na mashart kuzingatiwa
kosa lako ni kutembea na mke wa mtu .....acha mkuu nina kisa cha kweli kabisa kinachofanana kabisa na hiki mwisho wake hauwi mzuri kwenu wote watatu niishie hapanilibahatika kuwa karibu na binti mmoja hivi ambaye aliniomba ushauri alikuwa anataka kuachana na mumewe na alitaka kutoroka amuachie watoto,nikamketisha chini nikampa ushauri nikamwambia amekosana na mume iweje awaache watoto wadogo wateseke,nikamsihi ndoa ni uvumilivu msamehe mumeo muendelee na maisha,kisa cha kukosana ni kwamba mumewe ni mfanya biashara alikuwa na mkwanja mnene akawa hamjali demu,jamaa akachukua chombo kingine akakijengea akawa hana muda na mkewe,sasa amefilisika anarudi nyumbani anajidai anampenda tena mkewe, mkewe kwa sasa anahela ya maana kwakuwa baada ya kumshauri na akanielewa akakubali kubaki nikampa kimtaji akakitumia vizuri saivi ana maduka manne,jamaa anaanza kujisogeza mwanamke hataki anasema alishaumia sana, mpaka vyumba wametengana sasa mwanamke nimejaribu kumuweka chini kumwambia asahau yaliyopita arudiane na jamaa yake hataki kunielewa nikianza hizo stori za bwanake ananuna kabisa na maongezi yanakatika,mimi nikaona sio mbaya ngoja niendelee ninavyokwambia ni mwaka wa pili sasa nakula vitu,haambiwi wala hasikii anasema alishamtoa jamaa kwenye moyo wake.NAULIZA WADAU KOSA LANGU MIMI NI LIPI HAPO?
Endelea IPO siku utaliuwa tigonilibahatika kuwa karibu na binti mmoja hivi ambaye aliniomba ushauri alikuwa anataka kuachana na mumewe na alitaka kutoroka amuachie watoto,nikamketisha chini nikampa ushauri nikamwambia amekosana na mume iweje awaache watoto wadogo wateseke,nikamsihi ndoa ni uvumilivu msamehe mumeo muendelee na maisha,kisa cha kukosana ni kwamba mumewe ni mfanya biashara alikuwa na mkwanja mnene akawa hamjali demu,jamaa akachukua chombo kingine akakijengea akawa hana muda na mkewe,sasa amefilisika anarudi nyumbani anajidai anampenda tena mkewe, mkewe kwa sasa anahela ya maana kwakuwa baada ya kumshauri na akanielewa akakubali kubaki nikampa kimtaji akakitumia vizuri saivi ana maduka manne,jamaa anaanza kujisogeza mwanamke hataki anasema alishaumia sana, mpaka vyumba wametengana sasa mwanamke nimejaribu kumuweka chini kumwambia asahau yaliyopita arudiane na jamaa yake hataki kunielewa nikianza hizo stori za bwanake ananuna kabisa na maongezi yanakatika,mimi nikaona sio mbaya ngoja niendelee ninavyokwambia ni mwaka wa pili sasa nakula vitu,haambiwi wala hasikii anasema alishamtoa jamaa kwenye moyo wake.NAULIZA WADAU KOSA LANGU MIMI NI LIPI HAPO?