Kosa la nani?mapenzi yanauma vibaya

Kosa la nani?mapenzi yanauma vibaya

Itunze tu bibie tinna cute,washauri basi hao wadada,walishazipoteza sawa,basi wafunike,waache kupaacha wazi!
Unajua mleta uzi aliposema"Naitwa Tinna,akili yangu ikanituma kuwa atakuwa ni wewe nikasema tobaaa,hata tinna cute tayari ameishaipoteza!Duhhh kumbe sio wewe!

Kushauri watu wanajua utamu ni kazi sana siwezi,,,,,
Yangu bado iko na silidi mkuu.
 
Last edited by a moderator:

Hongera sana Cute,ilinde kwa nguvu zote!Hahahaaaa,kushauri watu wanaojua utamu!!Unawashauri tu tinna cute,unawaambia utamu hauishi,hivyo wasubiri wakati muafaka,kama wewe unavyovumilia!
 
Last edited by a moderator:
Wanaume tuko zaidi ya mnavyotufahamu. Juma katumia fursa habari za kupendwa hapo sahau.
 
Kuna wanawake mnalea wanaume?, sorry mnalea viboifrendi???

Heheheheh unatoa pesa yako?

Khaaaaa

Mkapimwe akili
 
Kwanza kabisa wee noumer, toka nijiunge jf sijawahi kusoma uzi wa design yako hapo kwenye (inaendelea...)

Pili, kama mnaishi kwa raha na huyo Juma its fine lakin kwa maoni yangu, wewe ndio chanzo cha yote yaliyofanya baraka abadirike kwasababu ilikua ngumu kwake kuamini urafiki wenu na Juma na alilazimika kusema uongo kwa Juma ili asipate fedheha kwa Juma kwamba una mlea.

Badala ya kusaidia kumlinda baraka ukashiriki kumsaidia ampate dory, elewa baraka alifanya hivyo si kwa mapenzi yake ila ni maumivu aliyokua anapata kutokana na ukaribu wako na juma.

Mwisho: Ulitakiwa usiingie kwenye mahusiano na juma ili kurinda heshima ya baraka ingawa ni ngumu maana juma alipata nafasi ya kufaham uzuri wako kutokana na ugomvi wenu na akatumia fursa. Kuingia kwenye mapenzi na mtu uliye karibu naye sana ni jambo zuri coz mnakua mmefahamiana vizuri ingawa kwa aina yenu hakua sahihi.
Hivyo ukiwa unasheherekea Xmas kila siku ya mahusiano yako na juma, subiri reaction ya baraka siku moja hapo ndio utajua MAPENZI NI KIZUNGUMKUTI!

Justification za kiboya saaana, ina maana baraka ndio mwenye ruksa ya kuwa na marafiki wa jinsia zote ila Tiner yeye hapana eti kisa baraka ndiyo ana moyo peke yake na hivyo ana wivu saaana, what a selfishness?! kwani nani asiyejua kwamba kwenye mapenzi ni friendship, pleasure n comfort? kama yeye ameumizwa na anahitaji comfort kwanini asimchague Juma ambaye ameproove kuwa rafiki yake wa siku nyingi na mwaminifu mno kumcomfort? Mlitaka aendelee kuteseka ili wanaume tueendelee kuonekana tuku juu hata kama ni mambo ya upuuzi? angekuwa tina ni dada yako ungempongeza au kumlaani kwa uamuzi huu? Tuache ubinafsi wa kjinga. By the way i am aware that this is just a beautiful story which make senses.
 
nimekusoma ndugu baraka!
 
Kwanza kabisa wee noumer, toka nijiunge jf sijawahi kusoma uzi wa design yako hapo kwenye (inaendelea...)

Pili, kama mnaishi kwa raha na huyo Juma its fine lakin kwa maoni yangu, wewe ndio chanzo cha yote yaliyofanya baraka abadirike kwasababu ilikua ngumu kwake kuamini urafiki wenu na Juma na alilazimika kusema uongo kwa Juma ili asipate fedheha kwa Juma kwamba una mlea.

Badala ya kusaidia kumlinda baraka ukashiriki kumsaidia ampate dory, elewa baraka alifanya hivyo si kwa mapenzi yake ila ni maumivu aliyokua anapata kutokana na ukaribu wako na juma.

Mwisho: Ulitakiwa usiingie kwenye mahusiano na juma ili kurinda heshima ya baraka ingawa ni ngumu maana juma alipata nafasi ya kufaham uzuri wako kutokana na ugomvi wenu na akatumia fursa. Kuingia kwenye mapenzi na mtu uliye karibu naye sana ni jambo zuri coz mnakua mmefahamiana vizuri ingawa kwa aina yenu hakua sahihi.
Hivyo ukiwa unasheherekea Xmas kila siku ya mahusiano yako na juma, subiri reaction ya baraka siku moja hapo ndio utajua MAPENZI NI KIZUNGUMKUTI!

You are right mkuu ila kwa kuongezea huyo juma kanitibua sana amedhalilisha jinsia yake, huyo ndio yule wa lady jd wanaume kama mabinti. Na tabia yake hiyo akaendelea nayo atazalishwa mapacha.
 
Nyie watoto acheni umalaya kasome kwanza,wewe ni malaya tu huna lolote,uko shule,bado tu unajitapa eti sasa hivi niko na Juma,shame on you!!Na huyo Juma ni bora umpe kanga avae na yeye ni mwanamke tu,wanaume hatuko hivyo,eti kila anachoambiwa na Baraka anakuja kukuambia!Soma nyie watoto,acheni umalaya!!Wote,Baraka,Juma,na wewe ni malaya tena wewe ni kachangudoa,Someni jamani,wazazi wenu tunajinyima msome,wewe ndo za kumhongea Baraka nauli ya kuja kukugegeda!

kweli bana aka kadem ni kachangu ila hakajielewi afu bado kana mapenzi ya fom 2
 
Hii story nimekutana nayo kule new york! Kuna dada mmoja alikuwa analia hivyo hivyo kwamba ana mshikaji wake yuko paris! Basi mchezo ukawa unaenda kama ilivyoelezewa hapa!!!!!!

..ntarudi..teh!!!
 
Mjini msingi kiuno, ukishatendwa ndo byebye
Ya msondo mwachie Gurumo, hayo mengine hayafai
Haya maneno walinena wazee wa zamani, ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani!
roho yangu mimi, Roho yangu mimi!
 
dah pole waxhakoroga ingine yote na kuinokisa then ndo juma kaxhtka kuleta habari za kike apigwe rungu la kichwa huyo j
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom