leez salu
Member
- Oct 2, 2013
- 35
- 8
Naitwa tina nilikuwa na mpenzi wangu anaitwa baraka.tulidumu kwa mda mrefu sana.hakuwa na kazi nikipata vihela kidogo namrushia.tupo mikoa tofauti mi ni mwanachuo.namtumia nauli anakuja mkoa naoishi nachukua lodge namlisha kwa gharama zangu nampa nauli ya kurudia.mwezi wa 5 alisikia tetesi natoka na mvulana mwingine anaitwa juma.haikuwa kweli ila marafiki ndo walimpa taarifa.akaja gafla kuhakikisha kma kweli wakagombana na juma nkaeleza ukweli yakaisha.nkampa nauli akarudi mkoani kwake.alikuwa anasumbua kunitaka nimtumie salio au hela.wakati mwingine hata mm nakosa.juma akawa ni rafiki yangu ananishauri ananambia nivumilie tu kwa kuwa nampenda.mwezi wa kumi mwishoni baraka akaomba aje kunisalimia nkamtumia nauli akaja akafanya upelelezi wake akapata namba ya juma wakakutana.wakaongea yakaisha sasa baraka akaanza kummwagia juma mastory yake yoote na madem zake anavyoishi eti ananilipia mimi nusu ya ada.kaninunulia cm lakini siridhiki.mengi ya uongo na kujikweza.juma akaja kunieleza yote hayo.baraka kimya tu.kukawa na karibu mwaka wa kwanza baraka hakunambia akaja chuo kuonana na juma wameshakuwa marafiki hivyo.juma akamtambulisha kwa mademu mbalimbali.sherehe ikaisha mi sijui lolote.tunawasiliana tu mi akanambia karudi mkoani kwake.juma anasema yupo.