La hasha . Lakini pia wanasema kanisa lile halimiliki yule daktari G🐼
Msikiti Unaweza kumilikiwa na mtu
Mnaokumbuka yaliyotokea msikiti wa mtoro na mwembe chai miaka ya 90+ waziri wa mambo ndani akiwa Augustin Mrema mje mtukumbushe👃👃Hayo yamesemwa na muumini wa kanisa la ufufuko na uzima. Je unadhani yupo sahihi ama hayuko sahihi??
Imamu akikosea utafunga msikiti ama utamwadhibu Imamu?
Dominika njema
Ni kweli,Kosa la Imamu halisababishi msikiti ufungwe
Hiyo ni lugha ya picha tu mkuu🐼
Msikiti Unaweza kumilikiwa na mtu